Baba yake kamsaliti mwanaeFBI waliahidi kutoa dola 100,000 hivyo utaona jinsi baba yake huyo dogo alivyokuwa hataki masihara.
Hivyo mzee atakunja dola 100,000 na akipigwa tax atabakia na kiasi cha kutosha.
Tax atalipa asilimia 22 ambayo ipo katika fungu kati ya $47,151 na $100,525
Hivyo 100,000 X 22% -22000= 78,000
Kwahiyo mzee Robinson atakunja dola 78,000, "not too bad".
Na kwa kuwa mwanae Tyler ndie aliekiri kwa baba yake kuwa amemuua Charles Kirk basi hakutakuwa na "bad feelings" kwa baba yake hata akitoka jela.
Mkuu, yakubidi ufuatilie namna uchunguzi unavyofanywa na hawa jamaa (FBI) hadi kumfikia mtuhumiwa na kumdaka.Ukisoma comments nyingi kwenye social media za US
watu wengi hawaamini kua huyo dogo ndiye aliyefanye hiyo kazi.
Umeelewa lakini nilichokiandika?Mkuu, yakubidi ufuatilie namna uchunguzi unavyofanywa na hawa jamaa (FBI) hadi kumfikia mtuhumiwa na kumdaka.
Kwani alimtuma?Baba yake kamsaliti mwanae
Umezungumzia jinsi social media zinavyoweka maoni yao ambayo yaweza kuwa si kweli.Umeelewa lakini nilichokiandika?
Wewe nae hata hueleweki,naona umekurupuka tu na kujitia utaalamu usio eleweka,Umezungumzia jinsi social media zinavyoweka maoni yao ambayo yaweza kuwa si kweli.
Ila kuna watu wenye utaalam na kazi zao hadi kumkamata huyo dogo tangu ameruka kutoka kwenye ile paa, kuchukua gari na kuendesha gari kwa saa 4 kukimbilia kwa baba yake.
Unafahamu kilichomkamata na kitakachomfunga au kuuliwa kwa sumu akipatikana na hatia?
OkWewe nae hata hueleweki,naona umekurupuka tu na kujitia utaalamu usio eleweka,
Soma tena comment yangu uielewe,mimi nimeelezea comment za wamarekani wenyewe kwenye social media zao,na wengi wao wanasema kua nowadays kila kitu kinakua planned,dogo inawezekana kua kabebeshwa zigo sio lake,hayo ni maneno ya wamarekani wenyewe waliopo US,
Try to think outside of the box.
Trump amebwabwaja tu alipoulizwa kama muuaji ni leftist kama alivyokuwa akisemaTrump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria.
Tukupe kazi mkuuYaani muda ule na maliza elimu ya msingi ndio anazaliwa huyu mwamba ila amesha fanya kubwa dunia nzima inamzungumza hali mimi nipo nipo tu!
Marekani kwa sasa hali si nzuri sana.Trump amebwabwaja tu alipoulizwa kama muuaji ni leftist kama alivyokuwa akisema
Hana sera zozote, ni mpuuzi tu anayetumia fursa ya hasira na hisia za Wamarekani wapuuzi.Marekani kwa sasa hali si nzuri sana.
Kwa sababu utawala wa Trump unawagawa wamarekani kwa sera zake zinobadilika kila mara.
Black America ni warefu mkuu, wewe mndengereko watajua tu sio wa kule hawatakughasighasi.Jamaa Wajitahidi kudhibiti hali ya usalama huko Vinginevyo nitashindwa kwenda World Cup nikihofia kudunguliwa
Tanzania kuna kikosi ambacho chaweza kuitwa ni "Auxiliary force".Hata waliomteka SATIVA na SOKA watapatikana, naliamini Jeshi letu
Huyo mtafutie mchongo JKT Suma pale Toyota (Posta ya zamani) wahitaji watu pale.Tukupe kazi mkuu
Kwenye comment yangu nimesema naamini nini?Ok
Mkuu, weye baki na unavyoamini.
Nani kasema hivyo vyombo visiachwe kufanya kazi yao kwa weledi?Mimi naamini katika kuhakikisha usalama wa raia wapewa kipaumbele na vyombo vya ulinzi na usalama vyapaswa kuachwa vifanye kazi yao kwa weledi.
Mdau mkubwa ila unashindwa kutambua kua kwenye intelijensia pia hua kuna makosa? Hujawahi kusikia kua kuna wafungwa wengi tu walifungwa kwenye jela za US kwa miaka kibao ila ikaja kugundulika kua walifungwa kimakosa? Tambua kwamba huyo dogo ni suspect,bado hajawa convicted,kama unafuatilia masuala ya usalama basi tambua kua,na wengine pia wanafuatilia na huenda wakawa wamekuzidi mbali sana,Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya usalama.
Ni mtuhumiwa mpaka itakapothibitishwa.Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria.
Fanya hivyo aisee.Tukupe kazi mkuu
Ukinisoma uzuri utaona nimesema huyu ni mtuhumiwa.Kwenye comment yangu nimesema naamini nini?
Nani kasema hivyo vyombo visiachwe kufanya kazi yao kwa weledi?
Mdau mkubwa ila unashindwa kutambua kua kwenye intelijensia pia hua kuna makosa? Hujawahi kusikia kua kuna wafungwa wengi tu walifungwa kwenye jela za US kwa miaka kibao ila ikaja kugundulika kua walifungwa kimakosa? Tambua kwamba huyo dogo ni suspect,bado hajawa convicted,kama unafuatilia masuala ya usalama basi tambua kua,na wengine pia wanafuatilia na huenda wakawa wamekuzidi mbali sana,
Kama simple comment yangu tu hukuielewa,napata mashaka na uelewa wako na uwezo wa kuchambua mambo.