The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Umetoa maelezo mengi ambayo ni based na mtazamo wako tu,kuchukua DNA samples eneo la tukio ni jambo la kawaida,Ukinisoma uzuri utaona nimesema huyu ni mtuhumiwa.
Kwenye hili hakuna makosa mkuu dogo kafungiwa tail, akawa under surveillance hadi anafika nyumbani kwao.
Pale alipofanyia shooting, alionekana akiruka na baadae FBI wakafanya Evacuation ya lile jengo na eneo lote ili kuchukua kila kitu DNA samples, kufanya search kwenye jengo zima kupata kila evidence.
Ukienda kwenye orodha ya wanomiliki silaha na walopita katika mafunzo yoyote ya kulenga shabaha kuna database na mambo mengine mengi ambayo nilikuelezea hizi taratibu za uchunguzi, itachukua kurasa ndefu.
Kwa ujumla mtuhumiwa pamoja na kukamatwa lakini tiyari amekiri kwa baba yake kuwa amefanya jambo baya Utah kaua.
Hivyo mengine tuachie mahakama zitaamua.
Umetoa maelezo mengi ambayo ni based na mtazamo wako tu,kuchukua DNA samples eneo la tukio ni jambo la kawaida,
Ila Baba wa mtuhumiwa ndiye aliyepiga simu na kutoa report mpaka mtuhumiwa kukamatwa,maelezo yako ni process ila sio hizo process ndio zilizofanikisha,
Hizo DNA zitatumika tu kuithibitishia Mahakama kama itakua kweli.
Uliandika "no further comment" naona ukaenda kuokoteza hiyo post juu ukaja kuipaste hapa! Sijui hata kama post yenyewe umeielewa, mtuhumiwa anakua convicted na Mahakama peke yake! Still U've a lot to learn on ur way.Turning Point USA 'profoundly grateful' to law enforcement
18:06 , Oliver O'Connell
Charlie Kirk’s organization, Turning Point USA, posted the following message to X:
We can confirm that the individual responsible for the murder of Charlie Kirk is now in custody.
We are profoundly grateful to the men and women of law enforcement who worked with such urgency, dedication, and courage to bring this person to justice. Their commitment has brought an important step toward closure in this incredibly painful time.
Ok no further comment.
Dogo kafundishwa na Mzee wake kulenga shabaha Toka akiwa na miaka 11, hawa wenzetu wazungu sometimes ni wajinga haswa.
Miaka yote Baba yake amekuwa anamfundisha tena Kwa kulipia kozi za ulengaji shabahaView attachment 3470530
Sisi inatuhusu nini ?Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria.
Wamesema wao hawahusiki na huyo mtuhilo swali labda ungewauliza jamiiforums walioweka jukwa la ,,international forum'', ...
Stori yako haijanyooka. Dogo alikiri kuua kwa baba yake na baba yake akapiga simu FBI wakaja kumchukua. So technically dogo ali-surrender, hajakamatwa.Ukinisoma uzuri utaona nimesema huyu ni mtuhumiwa.
Kwenye hili hakuna makosa mkuu dogo kafungiwa tail, akawa under surveillance hadi anafika nyumbani kwao.
Pale alipofanyia shooting, alionekana akiruka na baadae FBI wakafanya Evacuation ya lile jengo na eneo lote ili kuchukua kila kitu DNA samples, kufanya search kwenye jengo zima kupata kila evidence.
Ukiishawekwa "under surveillance" na raia wema pia hushirikishwa hivyo kazi ya kukukamata huwa rahisi.
Ukienda kwenye orodha ya wanomiliki silaha na walopita katika mafunzo yoyote ya kulenga shabaha kuna database na mambo mengine mengi ambayo nilikuelezea hizi taratibu za uchunguzi, itachukua kurasa ndefu.
Kwa ujumla mtuhumiwa pamoja na kukamatwa lakini tiyari amekiri kwa baba yake kuwa amefanya jambo baya Utah kaua.
Hivyo mengine tuachie mahakama zitaamua.
Hakuna mjadala wa aina hiyo US. Mjadala ni the right to own guns without regulations vs owning guns with regulations. Ishu ya the right to live ni kwenye mambo ya abortion ambao pia ni mjadala mkubwa.The Right to Guns vs Right to life ni mjadala mzito sana USA na utazidi kujadiliwa baada tukio hili.
Sawa nimekuelewa- japo hujafahamu context . Proliferation of guns and ensuing gun violence is a clear and present danger to our lives iwe Marekani au popote duniani.Hakuna mjadala wa aina hiyo US. Mjadala ni the right to own guns without regulations vs owning guns with regulations. Ishu ya the right to live ni kwenye mambo ya abortion ambao pia ni mjadala mkubwa.
Second ammendment inatoa ruksa kumiliki silaha ukifika muda fulani hata hizo range alizokuwa anafanya yapo maduka maalum utaenda kuchagua silaha utanunua utafanyia mazoezi hiyo yote iko kisheria tatizo kubwa tu ni hao ambao wanazitumia ndivyo sivyo.Dogo kafundishwa na Mzee wake kulenga shabaha Toka akiwa na miaka 11, hawa wenzetu wazungu sometimes ni wajinga haswa.
Miaka yote Baba yake amekuwa anamfundisha tena Kwa kulipia kozi za ulengaji shabahaView attachment 3470530
You are right Mkuu.Sawa nimekuelewa- japo hujafahamu context . Proliferation of guns and ensuing gun violence is a clear and present danger to our lives iwe Marekani au popote duniani.
Shukran Sana Kwa kuongezea nyamaSecond ammendment inatoa ruksa kumiliki silaha ukifika muda fulani hata hizo range alizokuwa anafanya yapo maduka maalum utaenda kuchagua silaha utanunua utafanyia mazoezi hiyo yote iko kisheria tatizo kubwa tu ni hao ambao wanazitumia ndivyo sivyo.
Nilikua natafuta video mojawapo ya wanaoongea kiswahili wakifanyia mazoezi hiyo hapo kwa hao wakenya .
View: https://youtu.be/JPG3jXy9xFQ?si=bTmrlNMmnLNCCAih
Dogo ndo kaamua kufanya application ya kile alichofundishwa na baba yakeDogo kafundishwa na Mzee wake kulenga shabaha Toka akiwa na miaka 11, hawa wenzetu wazungu sometimes ni wajinga haswa.
Miaka yote Baba yake amekuwa anamfundisha tena Kwa kulipia kozi za ulengaji shabahaView attachment 3470530