Kuna hofu kubwa na huyo mtu. Sijui kama dunia itasalimika katika miaka mitatu hii iliyosalia!1. Drc
2. Gaza
3. Ukraine
Hapana. Siyo manowari.Manowari ya USS Abraham Lincol
Huna akiliKuna hofu kubwa na huyo mtu. Sijui kama dunia itasalimika katika miaka mitatu hii iliyosalia!
submarine ni nyambizi weweHapana. Siyo manowari.
manowari ni submarine.
Hii ni meli ya kivita.
Wewe nawe, kwani alisema atamalizz vita alivyoanzisha??Duh hizo zilianzishwa na Trump?
Hii yote kumzuia Mchina asinunue mafuta ya Iran, maana wamefanikiwa kule Venezuela, Sasa wanataka pia Iran wasiuze mafuta kwa mchinaCOUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump.
Daily Iran News.
BREAKING NEWS
The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions. Is the world’s largest carrier escorted by its most powerful destroyers.
BREAKING: United Airways, British Airways, KLM, Air France, Lufthansa & Air Canada have all CANCELLED their flights to ISRAEL and/or the Middle East tonight.
Nikupe elimu kidogo.Yaani mie najiuliza tu swali la kawaida : Kinachomfanya Marekani ajiandae hivi kumvamia Iran ni kipi?
Iran amemkosea nini?
Ayatollah amemkosea nini?
Au ndio huo ubabe tuu
Ayattolah hataweza kukimbia itakuwa kama Sadam Hussein.Ayattolah aanze kukimbia mapema
Hivi ni kweli Marekani amedhamiria kushambulia Iran au ni kitisho tu?Ayattolah hataweza kukimbia itakuwa kama Sadam Hussein.
Kiongozi pekee alieweza kukimbia au kuokolewa hadi sasa ni Assad wa Syria alieokolewa na Russia.
Na hiyo ni kwasababu hata hivyo alikuwa na "strong connection" na Moscow na London, amewekeza sana kule na mkewe pia alikuwa na "connection" na UK.
America, hao jamaa kila rais lazima awe na vita yakeHuyu Babu (Trump) huwa anajigamba kumaliza vita zaidi ya 6 toka awe Rais, Cha ajabu anataka kuanzisha vita nyingine na Iran.
Huyu Mzee ni tapeli wa kisiasa.
Ayatullah kosa lake kuvaa chupi yenye rangi ya Korea kaskaziniYaani mie najiuliza tu swali la kawaida : Kinachomfanya Marekani ajiandae hivi kumvamia Iran ni kipi?
Iran amemkosea nini?
Ayatollah amemkosea nini?
Au ndio huo ubabe tuu
Hana tofauti na ccmHuyu Babu (Trump) huwa anajigamba kumaliza vita zaidi ya 6 toka awe Rais, Cha ajabu anataka kuanzisha vita nyingine na Iran.
Huyu Mzee ni tapeli wa kisiasa.