Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

It's very simple: wakati Trump alishambuliwa na wananchi wenye hasira wanaochukia sera zake, Tundu Lissu alitaka kuuliwa na serikali inayoongozwa na chama cha hovyo cha ccm.
 
It's very simple: wakati Trump alishambuliwa na wananchi wenye hasira wanaochukia sera zake, Tundu Lissu alitaka kuuliwa na serikali inayoongozwa na chama cha hovyo cha ccm.
Wewe ni muongo na Mzushi mkubwa sana
 
Mjifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu na kuacha kuwa waropokaji hovyo hovyo.Embu niambie kwanini Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi?
Kwani Serikali ya Marekani ndiyo ilitaka kumuua? Hivi wewe akili zako ziko kwenye tundu yako ya haja kubwa?
 
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja hii.
Usijipe uwezo ambao huna,kwa thread umechemsha usishupaze shingo kubali kukosolewa,hivi ulitaka Trump ailaumu serikali ya Marekani kwa lipi hasa wakati mtu aliyemshambulia aliuwawa pale pale na polisi? Jitahidi watu wasijue kuwa wewe ni mtupu kichwani. Hata kama walikuwa wanafikiria kukupa kajicheo kwa bandiko hili umejiharibia.
 
Mtu huyu ni mkorofi sana, ameniuma na meno nilipojaribu kumuua.🥺🥺🥺🥺 Nyinyi ni watu hatari, mnawapiga watu halafu mnataka kiwanyima na haki ya kulia pia.
 
Luca punguza uchawa,ipo tofauti kati ya serikali na nchi acha uzwazwa
 
Tanzania kuwa mshindani wa kisiasa wa chama tawala wewe unaonekana ni haini.
 
Kuna utofauti. Donald Trump ni Mzalendo kwa nchi yake. Tundu Lissu ni Mzalendo kwa tumbo lake!
 
Nimeamua kukusamehe tu bure kabisa maana naona bado hajakomaa na kupevuka kiakili.kuba uwezekano umezibuka akili na kukosa malezi ya wazazi wako ndio maana unajiropokea tu
Hivi waliopevuka akili ni hao watu wajinga na wapumbavu kama wewe....?

Unatafuta madaraka na cheo kwa propaganda za kijinga na kipumbavu kama hii halafu mwenyewe unajiona umepevuka akili eti...

Ngoje tukuelimishe mjinga wewe...

Tundu Lissu haichafui na wala hana ugomvi na nchi yake ya Tanganyika. Ugomvi wa Tundu Lissu uko kwa serikali chini ya CCM kuanzia ile iliyokuwa chini ya yule aliyekwisha kufa John P. Magufuli na huyu anayejipeleka mwenyewe kwenye mauti yake Samia Suluhu Hassan...

Tundu Lissu ni mzalendo kwelikweli wa nchi yake na taifa lake la Tanganyika. Nchi na taifa la Tanganyika lipo na litaendelea kuwepo..

Lakini ni adui mkubwa kwelikweli wa serikali chini ya CCM kwa sababu ya matendo maovu ya serikali hii ambayo ndiyo yanayosemwa kila siku na Tundu Lissu akiwa ndani ama nje ya nchi na sisi wananchi tunayajua kwa uwazi kabisa...

Serikali huja na kupita. Ziko Serikali ovu, katili na zinazowinda na kuwaua raia/wananchi wake wenye kama ile iliyokuwa chini ya Hayati John P. Magufuli (2915 - 2020) na sasa hii ya Samia Suluhu Hassan chini ya CCM yenu ileile...

Kuipinga na kuikosoa serikali iliyo madarakani hata siku Moja haijawi na halitakuwa kosa kisheria na haina uhusiano wowote na mapenzi ya mtu kwa nchi na taifa lake...

Na ofcoz, mtu yeyote anayeweza kuwapinga na kuwakosoa watawala wa serikali ya kishetani na kiovu kama hii ya CCM chini ya Samia Suluhu Hassan huyo mtu anaipenda sana nchi yake na lengo lake linakuwa ni ku - create awareness ya wananchi wapate kuona udhaifu na makosa ya serikali iliyoko madarakani na hivyo kuweza kuiondoa na kuweka serikali nyingine safi....
 
Kuna utofauti. Donald Trump ni Mzalendo kwa nchi yake. Tundu Lissu ni Mzalendo kwa tumbo lake!
Mjinga wewe, hujui ujualo wala usemalo...

Hakuna mtu safi na mzalendo kama Tundu Lissu....

Huko CCM hata uwe na kurunzi ya mwanga mkali huwezi kuona kiongozi safi. Wote wameoza na wananuka RUSHWA na ufisadi wa kutisha...

Wote wanahitaji kukombolewa...
 
Usimkunie Lucas kunguni,utampa wenda wazimu.
 
Nasema weka ushahidi wa dola kuhusika na siyo kuongea blaa blaa zako kama kawaida yako.
Wewe bila shaka ndo umeibuka leo toka usingizini na kuanza kujadili tukio hili, au siyo Ndugu Lucas Mwashambwa..?

Wenzio huko Lumumba wanajua kuwa hii ilikuwa ni mission ya kijinga, kipumbavu na iliyofeli spectacularly na kuitia aibu CCM na serikali yake wakati huo, sasa na mpaka kesho mpaka pale mtu huyu (Tundu Lissu) atakapopata haki yake kwa waliopanga, kuratibu na kuhusika kutaka kumuua lakini wakaishia kumjeruhi na kumpa ulemavu wa kudumu watakapokuwa wamepata hukumu yao ya dhambi hii mbaya kabisa wakiwa hapahapa duniani kwa kupitia sheria za nchi au sheria ya karma (natural justice)...

Msidhani kuwa hili limeisha. Hili halitaisha mpaka wote waliohusika wamejulikana kwa uwazi kwa majina na vyeo vyao na kuwa - traumatized wao wenyewe binafsi, familia na watoto wao...

Malipo ni hapa hapa duniani...

Muhusika mkuu John P. Magufuli tayari alishapata hukumu yake, amekufa yeye. Bado nyie ukiwemo wewe Lucas Mwashambwa kwa kuwa unauabudu uhalifu na uovu huu Ili mradi utimize tamaa ya mwili wako Sasa kujipatia fedha na fame ya madaraka....

Kaeni mkao wa kufa na kuabinika milele unless otherwise mchukue hatua ya kutubu makosa yenu Sasa mbele ya Mungu wa haki...

Kama unataka ushahidi, basi unapaswa ushighulishe akili na bongo yako kwa kujiuliza swali rahisi tu hili, kwamba, ni kwanini unadhani mpaka leo hakuna uchunguzi wowote uliofanywa au unaofanywa na TANPOL kwa tukio lililotokea miaka 7 iliyopita?

Kama una akili za kupevuka kweli kama unavojinasibu, basi hutarudia tena kuuliza ndani ya jukwaa swali la kijinga na kipumbavu kama hili huku JIBU lake mkiwa mmelibandika kwenye korido za Kuta zote za hapo ofisi za CCM Lumumba DSM..!
 
We mbumbumbu Trump hakushambuliwa na Dola ya US. Na ndiyo maana jamaa aliyemshambulia alidakwa na kumalizwa ndani ya dk 30.

Ni ushamba kuanza kuteka hadi kinamama na kuwavua nguo kuwapiga picha wakiwa utupu, kisa eti vitenge.

Usilingamishe US na huu upupu wetu kijana.
 
Huyu bwabwa Lucas hawezi kuelewa hoja hii yeye akili yake kisoda inatosha kusifia Samia tu ili aambulie makombo. Ni mpumbavu sana. Nafikiri huyu Lucas Mwashambwa ubongo wake umechanganyika na haja kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…