Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

Umeongea mapema Sana, muda utakupa jibu.
 
Trump chama chake kinaruhusu kumiliki silaha,kwa hiyo hana la kusema.Vilivile kila binadamu na hulka yake!
 
Nimeamua kukusamehe tu bure kabisa maana naona bado hajakomaa na kupevuka kiakili.kuba uwezekano umezibuka akili na kukosa malezi ya wazazi wako ndio maana unajiropokea tu
Washenzi kama wewe mnapaswa kutolewa sadaka kwa maslahi mapana ya taifa. Ungekuwa una malezi bora wala usingeleta thread ya usengerema mbele ya wanaume shababi maana unachokitafuta ni kufumuliwa.
 
Sasa lile tukio la trump utalifananishaje na na lisu? Pale muuaji ameuwa pale pale!! La huku ni kukimbia kuondoa camera!! Ila Afrika tuna laana!! Cha kushukuru tu ni kuwa sterling mkuu hayupo tena duniani!!! Mungu fundi
Mungu fundi,mwashambwa punguza vipengere ya Trump na Lissu ni issue tofauti sana!Wa trump Matokeo yamejulikana ndani ya wiki Moja tuu ya Lissu mtihani sana.
 
Aliyempiga risasi Trump, amejurikana na ameuliwa,waliompiga risasi Lisu, mpaka Leo hawajurikani! (Kwa wananchi na umma), ila ki serikali wanajuriksna na majambazi ya serikali na ccm
 
Mshambuliaji wa DT ameuwawa Jana hiyo hiyo. Pia yeye kakoseakoswa risasi, TL alipigwa risasi kadhaa.

Any way, tufanye una pwenty, unataka tulinganishe reaction za TL na DT kwenye mashambulio Yao. Uko tayari kulinganisha maeneo mengine yanayohusu maendeleo na huduma za jamii kati ya US na TZ?

Kuna mtu anafanya kazi kama Yako ya kujitolea kuisemea nchi kama unavyofanya wewe hapa JF?
 
Naomba unijibu kuwa ni wapi Umeona Trump akitoka kuichafua Marekani na kutaka itengwe na Dunia? Ni wapi umeona akisema Joe Biden ndiye amepanga njama za kutaka kumuua? Ni wapi umeona akipita kwenye vyombo vya habari kuipaka matope nchi yake kama alivyokuwa akifanya Lissu?
 
Unaaibisha sana ukoo wako kwa kutokujua mambo.
Huna unalolijua
 

Ataanzia wapi kusema hayo yote wakati anaona kabisa jinsi vyombo vya usalama vilivyofanya jukumu lao na hatua zinazochukuliwa kuhusu hilo tukio?

Kumbuka shambulio la TL lilitokea kwenye viunga vinavyolindwa mbaya zaidi CCTV zikatolewa ili kupoteza upatikanaji wa ushahidi kirahisi.
 
Ni CCM pekee ambapo utakuta Mtendewaji analaumiwa badala ya Mtendaji....Mungu na awalaani tu: Nakumbuka 2012 wabunge wa CHADEMA kule Mwanza: Kiwia- Ilemela,Machemuli- Ukerewe na Wenje- Nyamagana,walicharangwa mapanga na green-guard wa CCM mbele ya Polisi wa CCM.RPC - akatoa tamko la kuwalaumu wabunge hao,badala ya wahusika na ambao walikuwa wanajulikana wazi kwa sura na majina..Nakumbuka Dr.Slaa alikerwa sana akaweka wazi majina na ushahidi mbele ya wanahabari.. RPC huyohuyo akasema wanafuatilia,mwisho wa siku akasema wamekimbia wote.Mimi CCM akiingia anga zangu hatoki aisee....!
 
Siku kikiwaka hapa bongo vijana wa GenZ tutaanzia ofisi za JF watuambie ID za watu kama mtoa mada, tutawatafuta popote walipo tutawakamata yeye na chawa wa mama wote na ndo tutaanza nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…