Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

Wewe mpuuzi umemsikia mhandisi wenu wa kuiba kura anaelezea mnachofanya kwenye "uchafuzi mkuu"??

Tukirudi kwenye mada shambulio la Lissu na Trump ni matukio tofauti kabisa.

Trump kashambuliwa akiwa ni rais wa awamu moja ila anapata benefits kadhaa kama former president ikiwemo ulinzi wa secret service ndio maana umeona mshambuliaji nae kamalizwa!

Lissu alimiminiwa risasi 32 na 16 ndio zilimpata , Lissu hakua na ulinzi wowote na hata wiki kadhaa nyuma aliliripoti kuna gari inamfuatilia ila hakuna hatua yoyote poliCCM walichukua na hata hakuna aliyewahi kutiwa nguvuni kwa shambulio hilo zaidi ya miaka 7 sasa.

Hivyo mnapokuwa mnapewa mada za kubandika hapa mjitahidi walau kupitia maana tunajua mnafukuzia vipato vyenu vya siku [ buku 7] kwa kupost propaganda ila jitahidi propaganda ziwe na mantiki.
 
Kapigwe na wewe risasi ukae kimya kuonyesha uzalendo wako kichaa mmoja wewe.
 
Labda hao waliompiga risasi wangejulikana na kuuwawa ama kukamatwa hapo kwa hapo na jeshi la polisi asingeilaumu serikali
 
Aichafue vipi sasa wakati haikuhusika? Wewe huoni wachafuliwa walifanza nini?
Sasa kwanini Lissu alikuwa akipita kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kuichafua nchi yetu pasipokuwa na sababu wala ushahidi wa yale aliyokuwa akiongea?
 
Aliyek
Aliyekataza Watanganyika hasa viongozi wa CCM kwenda kumjulia hali hospital uliwahi kufahamu NIA yake ilikuwa ni nini?
 
Aichafue vipi sasa wakati haikuhusika? Wewe huoni wachafuliwa walifanza nini?
Sasa kwanini Lissu alikuwa akipita kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kuichafua nchi yetu pasipokuwa na sababu wala ushahidi wa yale aliyokuwa akiongea?
 
Nionyeshe mahala ambapo japo kwa uchache vyombo vya usalama vilifuatlia
 
Embu nijibu swali hili kuwa je umesikia Trump akipita kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani? Umeona akitafuta kura za Huruma? Umeona popote pale akisema Joe Biden na serikali yake ndio waliopanga njama za kumuua? Umeona popote pale akisema Marekani iwekewe vikwazo vya kiuchumi?
 
Lucas uache ujinga!

Aliempiga Trump risasi ameuawa!

Aloempiga lisu Risasi hajulikani Hadi leo na hakuna chochote kinachoendelea Hadi leo!!

Waliompiga lisu risasi ndio wameichafua Tanzania sio Lisu ,tumejichafua wenyewe!!
 
Mjifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu na kuacha kuwa waropokaji hovyo hovyo.Embu niambie kwanini Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi?
Wewe Trump hawezi chafua taifa kwa sababu aliyetaka kumuondoa kaondolewa sasa akamlaum nani?
Hata Lisu wahusika wakiwajibishwa wala hutomuona lakini chukulia wewe ndo umekoswa koswa kufa serikali hiyo iliyotaka kukuondoa duniani utakuwa na moyo wa kuisifia?
 
Attachments

  • IMG_9600.jpeg
    166.5 KB · Views: 1
Wewe inaonekana ni slow learner,umefafanuliwa hapo ila bado unabwabwaja, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜† mzee wa kububujikwa na machozi
Mjifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu na kuacha kuwa waropokaji hovyo hovyo.Embu niambie kwanini Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi?
 
Attachments

  • IMG_8869.jpeg
    53.9 KB · Views: 1
Mjifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu na kuacha kuwa waropokaji hovyo hovyo.Embu niambie kwanini Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi?

Waliomshambulia Lissu ktk makazi ya viongozi wa serikali waliichafua zaidi nchi yetu kuliko kauli yoyote ile aliyoitoa. Pia kitendo cha vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kufanya uchunguzi wa tukio zima kunaivua nchi yetu nguo kimataifa bila hata Lissu kusema jambo lolote.
 
Kenge wewe acha uchawa wa kisengerema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…