Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

Kiongozi wewe ni roboti?
 
Embu nijibu swali hili kuwa je umesikia Trump akipita kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani?
Trump ni asylee??

Lissu tangu alipoondoka 2017 akiwa mahututi alirudi 2020, sasa Trump uliona pale ameondoka kwenda exile?
Umeona akitafuta kura za Huruma?
Kura za huruma zinatafutwaje wakati Nepi kasema ana mbinu lukuki za kuiba kura [haramu,nusu haramu na haramu zaidi]
Umeona popote pale akisema Joe Biden na serikali yake ndio waliopanga njama za kumuua? Umeona popote pale akisema Marekani iwekewe vikwazo vya kiuchumi?
Two different cases Trump yupo ulingo wa kisiasa bado na yuko consious wakati Lissu miaka 3 yote alikuwa ni mtu wa surgery nyumbani , nyumbanj surgery sikushangai maana una uwezo mdogo wa kujua tofauti ya shambulio la Trump na Lissu
 
Sasa kwanini Lissu alikuwa akipita kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kuichafua nchi yetu pasipokuwa na sababu wala ushahidi wa yale aliyokuwa akiongea?

Kwanini wewe unataka ushahidi upi kuwa nani anahusika kama alikuwa karakana osterbay akakutwa katavi porini?

Au amezungushwa mikoa kadhaa halafu akarejeshwa chumba G, Tanga?

Kwani ni kwa kutuona je vile ndugu?
 
Wenzetu wako mbali sana ,wenda ameisha jiridhisha kwamba Serikali haikuhusika ,kumbuka uyu amekua rais USA
 
Mtu aliye mpiga risasi Trump aliuawa ( Hakuna kesi)

Je...? Waliompiga risasi Lisu wako wapi ( Kesi ipo ila wahuni wamekaza fuvu)

Lisu ana haki ya kupaza sauti kadri awezavyo, hadi watesi wachukuliwe hatua.

Hata kama simkubali LISU, ila jamaa anahaki ya kupaza sauti ili walio mpiga risasi wakamatwe na wahukumiwe.
 
INAITAJIKA RASILIMALI WATU Ni kitu adimu na adhimu Sana kwa Africa 🌍 na ambacho Kama taifa tunakikosa na tumekikosa kwa muda mrefu huyu mlugaluga LUCAS MWASHAMBWA anataka kuifananisha UNITED STATES' OF AMERICA na SHIT HOLES COUNTRIES....

NB.
Hajui hata states za Amerika zinaendeshwaje? Hajui Economy , constitution,JESHI,mahakama, haki za binadamu magereza,bunge, ikulu na NK. Alafu anakuja kuharisha uharo wake hapa..

Kwa Sasa safarini
Nzega
 
Mtoa mada tofautisha TAIFA na SERIKALI. Sijawai sikia TL akilichafua TAIFA Ugomvi wa TL ulikuwa dhidi ya SERIKALI na sio TAIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…