Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

Lisu na nyumbu wa Chadema ni Wagonjwa wa akili.

Hapo watakwambia Katiba Mpya ndio Kila kitu ,Sasa sijui imekuaje Katiba Mpya ikashindwa kuzuia risasi Kwa D.Trump πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Unaijua katiba ya USA?Inaitwaje?Kwa ulichokiandika umeonesha umaandazi wako.
 
Lissu aliichafuaje Tanzania?
 
Unajua aliyemshambulia Trump inasemekana alikuwa ni mtu wa chama chake. Unaona pia alivyolindwa na dola baada ya tukio lile na maraisi wote wa zamani na Biden mwenyewe akampa pole na kulaani hilo tukio. Hapa kweli unalinganisha na Lisu alivyotendewa wakakti Mkuu alizuia hata watu wa chama chake kumwona, Uchambuzi wako haujakaa sawa.
 
Kwani Lissu hawezi kushambuliwa na wa chama chake?
 
Ushahidi upi wa mazingira huo unaousema ambao hauachi mashaka ya aina yoyote ile.
Camera za CCTV ktk makazi ziliondolewa na nani? Kwa nini mamlaka ziliagiza kuwa mlengwa akifa hakuna kuagwa DSM wala Dom? Kwa nini waliotajwa kupanga hayo mauaji hawajahojiwa? Kwa nini camera ya kwenye gari la mlengwa ilinyofolewa? etc.
 
Tunataka katiba ambayo nafasi nyingi za utumishi kwa umma zitakuwa ni za kuchaguliwa kwa kura za wananchi ili kumaliza mawazo ya kipumbavu kama haya.

Kwa sababu wajinga na chawa kama hawa wananyemelea hisani ili kupewa uteuzi wa hata utendaji wa kijiji/mtaa au kata. Bure kabisa.
 
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania.
 
Unafahamu ukiwa mpumbavu wewe huwezi kujua ila ni watu ndio wataona na kwa mantiki hiyo ndio maana huoni uchawa wako. Ni sawa kabisa na mtu aliyekufa hawezi kutambua kwamba amekufa ila walio hai ndio wanatambua.
Mifano yako ni ya kijinga sana ndugu yangu. Nani aliwahi kufa akawa na uwezo wa kusema kuwa hajafa?
 
We jamaa unakera sana. Shambulio la trump tuliona vyombo vikiact pale pale na anayedhaniwa kuwa muuaji, samamba na raia mmoja kuuawa pale pale. Baada ya hayo dola ikatangaza immediately kwamba vyombo vyao FBI na CIA tayari vimeanza uchunguzi wake!

Lissu anapigwa risasi maCCM mlizuia hadi watu kumuombea, maCCM mlizuia hadi watu kujitolea damu! maCCM mkazuia watu kuvaa tisheti za Pray for Lissu. Mkaona haitoshi mkamnyima matibabu, na hatimae mkavua na ubunge. UKATILI gani huu.

Na mpaka sa hivi vyombo havijafanya uchunguzi. Sometimes usipokua unatumia akili unakua hauna tofauti na MBUZI.
 
Wewe ni msenge sana,Kwani Trump alipigwa Risasi kwa amri ya Biden?
Aliyempiga Risasi Trump ameshauliwa na waliompiga Risasi Tundu Lissu wako wapi?

Tanzania siyo CCM, jifunze uache kuandika mavi humu.
Tundu Lissu hakuichafua Tanzania,aliiachafua CCM.
Mshamba mkubwa wa siasa wewe
 
Kwani Trump amepigwa risasi na SERIKALI? 😁
 
Cctv alizitoa nani?? Nyumbani kwa lisu baada ya kupigwa?
 
Lisu na nyumbu wa Chadema ni Wagonjwa wa akili.

Hapo watakwambia Katiba Mpya ndio Kila kitu ,Sasa sijui imekuaje Katiba Mpya ikashindwa kuzuia risasi Kwa D.Trump πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Yaani we na lisu nani ana akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…