Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

Wewe ni msenge sana,Kwani Trump alipigwa Risasi kwa amri ya Biden?
Aliyempiga Risasi Trump ameshauliwa na waliompiga Risasi Tundu Lissu wako wapi?

Tanzania siyo CCM, jifunze uache kuandika mavi humu.
Tundu Lissu hakuichafua Tanzania,aliiachafua CCM.
Mshamba mkubwa wa siasa wewe
Wewe na Lissu akli yenu ni moja tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu.

Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa kiakili,Imani kwa vyombo vyao vya ulinzi na usalama,kutanguliza mbele maslahi ya Taifa lao,kujizuia kuzungumza hovyo hovyo bila breki. Tumeona Trump akiwa mtulivu,mwenye subira na kuviachia vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi yake na hatimaye kutoa ripoti.

Pamoja na kuwa ananyukana vikali sana na Joe Biden Rais wa sasa wa Marekani katika kuelekea katika kinyang'anyiro cha Urais, lakini hakuna mahali popote pale ambapo Trump ametoa Maneno ya kumshutumu Joe Biden na serikali yake.hakuna alipotoa maneno ya kusema joe Bideni anahusika na jaribio la kutaka kumuua ili kujitengenezea ushindi wa Urais .Hakuna mahali popote pale alipotumia tukio hilo kupata huruma ya wa Marekani au kutaka kuonyesha anataka kura za huruma.

Zaidi tumeona akiwa Bize kupanga mipango yake na mikakati yake kisera na ki ajenda pamoja na kuteua mgombea Mwenza wake anayeamini ni mtu sahihi katika Maono aliyonayo kisera juu ya Marekani mpya na yenye kuleta matumaini kwa wamarekani.

Lakini alipopigwa Risasi Lissu na watu wasiojulikana na baadaye kupata unafuu alianza kuzunguka Dunia nzima kama Jua kuichafua Nchi yetu,kuipaka matope,kutaka kila mtu Duniani aitenge Tanzania na asiipatie Msaada wa aina yoyote ile.Tuliona akihangaika usiku na mchana kutafuta vyombo vya habari kuanzia Ulaya hadi Amerika kumwaga sumu ya kuliangamiza Taifa letu na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi ili tufe wote..

Alisahau kwamba watakaoathirika ni ndugu zake na watanzania kwa mamilioni yao.alisahau kuwa Nchi na Taifa letu ni kubwa kuliko mtu yeyote yule na Maslahi yake,alisahau kuwa watu hupita na sote tunapita lakini Taifa letu litaendelea kubakia vizazi kwa vizazi.Alisahau kuwa ni Rahisi kulibomoa Taifa kuliko kulijenga,alisahau kuwa heshima ya Tanzania ilijengwa kwa miaka mingi na kwa akili kubwa na jasho lakini yeye akataka aharibu sifa hiyo ya Taifa letu ndani ya muda mfupi kwa Mdomo wake..

Kwa hakika Lissu na wapinzani alinifanya nimchukie mpaka Kesho na kutokumpenda kabisa .kwa sababu niliona ni mtu asiye mzalendo,mtu wa visasi ,chuki,roho mbaya ,tamaa ya madaraka hata kwa njia ya Damu. Niliona Lissu hana upendo wala hisia za upendo kwa Taifa letu na watanzania kwa ujumla wake.

Tabia hii ya kukosa uzalendo kwa Taifa letu imekuwa ikifanywa sana na viongozi wa CHADEMA mara kwa mara kuichafua nchi yetu kimataifa,kwa kuandika vibarua vyenye kujaa maneno ya uzushi , uongo, uchonganishi na umbeya tu.kuna kipindi upinzani hao hao waliandika vibarua vya kutaka kuzuia pesa ambazo zilipaswa kuja kuwekezwa katika miradi ya Elimu.Kwa hakika ulikuwa ni ujuha na ujinga wa kiwango cha juu sana.

Kwa sababu waliokuwa wanakwenda kuteseka na kuathirika ni watoto wa maskini na wa kipato cha chini.hawa ndio waliokuwa wanakwenda kuwa wahanga wakubwa.

Tujifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu.Tuache tabia ya kulichafua Taifa letu kimataifa.tujifunze kutatua migogoro yetu katika meza ya mazungumzo,tuache kupeleka mambo yetu nje ya nyumba yetu tukifikiri ndio jibu. Sasa Mbona Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi? Kwanini hajafanya hivyo?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Usilinganishe Marekani na shithole
 
Mwandishi hajawahi hata kukoswa koswa na manati kwa hiyo hoja yake ni VOID.
 
Ni kwa vile mtu akiwa mpumbavu ukimwita hivyo inaonekana umemtusi basi ngoja nisifanye hivyo.
Hivi kwa akili za kawaida na upo humu JF unaweza kulinganisha matukio hayo mawili?
Kwanza la Trump ona anafanya kampeni akilindwa na secret service na walichukua hatua immediately na uchunguzi unaendelea.
Pili Rais Biden amelaani mara moja tukio hilo.
Sasa njoo huku. Ulinzi makazi ya Lissu uliondolewa na wahusika hawahojiwi mpaka leo.
Hakuna faili la uchunguzi jeshi la polisi.
Rais aliyekuwepo alikataza hata watu kukusanyika kumuombea majeruhi na mengi zaidi kuonyesha uhusika wao.
Hivyo, thread hii ina haki kabisa kuitwa ya kipumbavu.
 
Akili ndogo muda wote hujadili watu tu, tangu juzi mna kazi ya kuanzisha nyuzi kumlaani Lissu kwa kupigwa risasi na kundi la Makonda na wauaji wenzake, mlitaka anyamaze tu. Tumechoka na huu upuuzi wenu , huwezi kulinganisha shambulia la Trump na jaribio la dola kutaka kumuua Lissu.
Kumbe makonda alimpiga risasi lisu hii taarifa mpya umeipata wapi?
 
Suala la Lissu lina utofauti mkubwa na la Trump. Ile serikali ya kidhalimu ilimnyima haki zake za matibabu na mbaya zaidi ilifika hatua hata wanaomwombea Lissu hadharani wanakamatwa. Wabunge wa CCM walishindwa kwenda kumuona hospitalini kwa kumuogopa mwenyekiti. Spika mpuuzi Job akamfuta ubunge Lissu kwa kudai ni mtoro wakati dunia nzima inajua Lissu ni mgonjwa. LISSU ALIONEWA. Kama unamsapoti Mama Samia lazima umpe maua yake jinsi alivyoshughulikia suala lake. Mama alienda hospitalini na kwenye uongozi wake ndo alikuja kulipa stahiki zote za Lissu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu.

Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa kiakili,Imani kwa vyombo vyao vya ulinzi na usalama,kutanguliza mbele maslahi ya Taifa lao,kujizuia kuzungumza hovyo hovyo bila breki. Tumeona Trump akiwa mtulivu,mwenye subira na kuviachia vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi yake na hatimaye kutoa ripoti.

Pamoja na kuwa ananyukana vikali sana na Joe Biden Rais wa sasa wa Marekani katika kuelekea katika kinyang'anyiro cha Urais, lakini hakuna mahali popote pale ambapo Trump ametoa Maneno ya kumshutumu Joe Biden na serikali yake.hakuna alipotoa maneno ya kusema joe Bideni anahusika na jaribio la kutaka kumuua ili kujitengenezea ushindi wa Urais .Hakuna mahali popote pale alipotumia tukio hilo kupata huruma ya wa Marekani au kutaka kuonyesha anataka kura za huruma.

Zaidi tumeona akiwa Bize kupanga mipango yake na mikakati yake kisera na ki ajenda pamoja na kuteua mgombea Mwenza wake anayeamini ni mtu sahihi katika Maono aliyonayo kisera juu ya Marekani mpya na yenye kuleta matumaini kwa wamarekani.

Lakini alipopigwa Risasi Lissu na watu wasiojulikana na baadaye kupata unafuu alianza kuzunguka Dunia nzima kama Jua kuichafua Nchi yetu,kuipaka matope,kutaka kila mtu Duniani aitenge Tanzania na asiipatie Msaada wa aina yoyote ile.Tuliona akihangaika usiku na mchana kutafuta vyombo vya habari kuanzia Ulaya hadi Amerika kumwaga sumu ya kuliangamiza Taifa letu na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi ili tufe wote..

Alisahau kwamba watakaoathirika ni ndugu zake na watanzania kwa mamilioni yao.alisahau kuwa Nchi na Taifa letu ni kubwa kuliko mtu yeyote yule na Maslahi yake,alisahau kuwa watu hupita na sote tunapita lakini Taifa letu litaendelea kubakia vizazi kwa vizazi.Alisahau kuwa ni Rahisi kulibomoa Taifa kuliko kulijenga,alisahau kuwa heshima ya Tanzania ilijengwa kwa miaka mingi na kwa akili kubwa na jasho lakini yeye akataka aharibu sifa hiyo ya Taifa letu ndani ya muda mfupi kwa Mdomo wake..

Kwa hakika Lissu na wapinzani alinifanya nimchukie mpaka Kesho na kutokumpenda kabisa .kwa sababu niliona ni mtu asiye mzalendo,mtu wa visasi ,chuki,roho mbaya ,tamaa ya madaraka hata kwa njia ya Damu. Niliona Lissu hana upendo wala hisia za upendo kwa Taifa letu na watanzania kwa ujumla wake.

Tabia hii ya kukosa uzalendo kwa Taifa letu imekuwa ikifanywa sana na viongozi wa CHADEMA mara kwa mara kuichafua nchi yetu kimataifa,kwa kuandika vibarua vyenye kujaa maneno ya uzushi , uongo, uchonganishi na umbeya tu.kuna kipindi upinzani hao hao waliandika vibarua vya kutaka kuzuia pesa ambazo zilipaswa kuja kuwekezwa katika miradi ya Elimu.Kwa hakika ulikuwa ni ujuha na ujinga wa kiwango cha juu sana.

Kwa sababu waliokuwa wanakwenda kuteseka na kuathirika ni watoto wa maskini na wa kipato cha chini.hawa ndio waliokuwa wanakwenda kuwa wahanga wakubwa.

Tujifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu.Tuache tabia ya kulichafua Taifa letu kimataifa.tujifunze kutatua migogoro yetu katika meza ya mazungumzo,tuache kupeleka mambo yetu nje ya nyumba yetu tukifikiri ndio jibu. Sasa Mbona Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi? Kwanini hajafanya hivyo?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Mpigaji wa trup alipatikana akauliwa

Je wa lisu alipatikana?
 
Aliyempiga risasi Trump kapatikana na aliuliwa palepale, na amefahamika ni nani. Na serekali ya US imewajibika kwa upuuzi ule. Umeona serekali yao ikaanza kuweka mkwamo wa uchunguzi muhuni yule? Lisu aliichafua serekali, kwani ilikuwa safi?
 
Back
Top Bottom