Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

Mimi yesu sio mungu yupo mungu Alie niumba Bali kwa upumbavu wenu mnaniita mungu.ngojeni siku yamwisho nije kuwakana ndio mtajua Kumbe hamjui.

Mathayo 1
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.

Kama ilivyoandikwa katika chuo cha nabii Isaya
 
Mathayo 1
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.

Hayo ni maneno kutoka kinywani mwa Gabriel mjumbe wa Mungu
🤝🏻🤝🏻🤝🏻
 
Afya ya brain!Tuombeane vyema kwa Mungu.
1 “Do not judge, or you too will be judged. 2 For in the same way you judge others, you will be judged, and with the measure you use, it will be measured to you. 3 “Why do you look at the speck of sawdust in your brother's eye and pay no attention to the plank in your own eye?

Mathew 7:1-3
 
Kutoka 23:8
Hupaswi kukubali rushwa, kwa maana rushwa huwapofusha watu wanaoona vizuri na inaweza kupotosha maneno ya watu wenye haki.
 
Isaya 9:6-7 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Maongeo ya enzi yake na amani Hayatakuwa na mwisho kamwe, Katika kiti cha enzi cha Daudi na ufalme wake; Kuuthibitisha na kuutegemeza Kwa hukumu na kwa haki, Tangu sasa na hata milele. Wivu wa Bwana wa majeshi ndio utakaotenda hayo.
 
Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya
Exod 14:14

Simamemi, jipangeni mkauone wokovu wa Bwana
2Nyak 20:17

Afichaye dhambi zake hatafanikiwa,
Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema
Mith 28:13
 
Back
Top Bottom