Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

1 YOH. :5:8
Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.

Hivi ndivyo Maandiko yatuambiavyo Mungu mmoja katika nafsi tatu
Labda nikuulize, hicho nilichonukuu ni uongo? Kama ndivyo hebu fafanua.

Kuhusu hili andiko mbona liko wazi hapo? Kipi usichoelewa? Kwa kukusaidia tu hicho ndicho kilichomaanishwa hapa:

Waebrania 1:
Hebrews

1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,

1 God, who at various times and in various ways spoke in time past to the fathers by the prophets,

2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

2 has in these last days spoken to us by His Son, whom He has appointed heir of all things, through whom also He made the worlds;Waebrania 1:

2 has in these last days spoken to us by His Son, whom He has appointed heir of all things, through whom also He made the worlds
 
Hesabu 31:17-18
(17) Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume.
(18) Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe.

1Timotheo 2:11-14
(11) Mwanamke na ajifunze katika utulivu na unyenyekevu.

(12) Simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya.
(13) Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza kisha Hawa;

2wafalme 4:32-34
32. Elisha alipofika, akaingia peke yake chumbani na kuona maiti ya kijana kitandani.

33. Basi, akafunga mlango na kumwomba Mwenyezi-Mungu.

34. Ndipo akajilaza juu ya mtoto, mdomo wake juu ya mdomo wa mtoto, na macho yake juu ya macho ya mtoto na mikono yake juu ya mikono ya mtoto. Na alipokuwa amekaa hivyo, mwili wa mtoto ukaanza kupata joto.
 
Labda nikuulize, hicho nilichonukuu ni uongo? Kama ndivyo hebu fafanua.

Kuhusu hili andiko mbona liko wazi hapo? Kipi usichoelewa? Kwa kukusaidia tu hicho ndicho kilichomaanishwa hapa:

Waebrania 1:
Hebrews

1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,

1 God, who at various times and in various ways spoke in time past to the fathers by the prophets,

2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

2 has in these last days spoken to us by His Son, whom He has appointed heir of all things, through whom also He made the worlds;Waebrania 1:
Hebrews

1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,

1 God, who at various times and in various ways spoke in time past to the fathers by the prophets,

2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

2 has in these last days spoken to us by His Son, whom He has appointed heir of all things, through whom also He made the worlds
Unakumbuka kweli unachokisimamia

Kwa mujibu wa Isaya ulidai Yesu ndiye mwana, ndiye Roho na ndiye Baba yaani kwa maana yako Yesu anajibadilishabadilisha

Sasa hapa andiko linasema wapo watatu nafsi ambazo ni independent siyo mmoja kubadilikabadilika
 
Mhubiri 7:9
Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
Nikiwa mvulana kuna siku dingi akaniwakia wakati sikuwa na kosa lolote, nilikasirika, koromeo likawa linawaka moto kwa hasira; ghafla mstari huu ukanija moyoni na hasira yangu ikayeyuka mara. Ama kweli neno la Mungu ni dawa, likijaa ndani yako utayashinda majaribu mengi sana.

Vv
 
Hata mimi nilikuwa na hasira balaa,kwa fungu hili niliweza kukontrol hasira hadi sasa napuuzia nikiudhiwa.
 
Biblia haina tofauti na zile hadithi za akina Abunuwasi. Uongo mtupu, cha ajabu utakuta mtu msomi kabisa anaamini yaliyoandikwa humo.
The Bible is the only book that survived all critics for milleniums and it is still the most read and popular book in the world.

Isaya 40
8 Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.

Mithali 30
5 Kila neno la Mungu limehakikishwa; Yeye ni ngao yao wamwaminio.

Vv
 
Yesu sio Mungu Baba na sio aliyeumba na kwenye kitabu imeandikwa ikifika majira atatiishwa chini ya aliyemtiishia vitu vyote.

Rejea 1korintho 15:24-28
IMG_0799.jpg
 
KWA MAANA JNSI HII MUNGUBALIUPENDA ULIMWENGUBHATA AKAMTOA MWANAE WA PEKEE ILI KILA AMUAMINIAE ASIPOTEE BALI AWE NA UZIMA WA MILELE
 
Mnachanganyikiwa sana na JINA MUNGU.
MUNGU ni NGUVU (POWER ABOVE ALL POWERS).

Labda nikufungue kidogo kwa mfano wa kawaida.

UMEME ni Nguvu
NYUKRIA ni Nguvu
ATOMIC pia ni Nguvu
JUA Pia ni Nguvu

Lakini Nguvu zote hizo zinaweza zikawa na jina moja la NGUVU YA NISHATI (POWER ENEGY).Maana yake ni kwamba kuna sifa ya kipekee inazozifanya ziitwe Nguvu ya Nishati.

KWA HIYO YESU KRISTU KUITWA MUNGU,Maana yake ni ile NGUVU ya kipekee aliyo nayo ambayo Sifa ya NGUVU hiyo uwezi kuipata kokote au kuifananisha na chochote zaid ya kuiweka kwenye kapu la JINA MUNGU.
Hatumwita YESU KRISTU ,MUNGU, kwa maana ya Mwili unaoonekana kwa mwili,bali ile NGUVU inayotokana na mafundisho yake.Jina YESU alipewa kutimiza natural fomula ya kwamba ukizaliwa basi unapewa jina linalotambulisha Mwili wako .
Ila jina linalotambulisha kile alichobeba YESU KRISTU ni EMMANUEL yani MUNGU PAMOJA NASI.

Sasa,ule uwezo au Volume ya NGUVU hizo nitofauti.Hapa ndipo unakuta KRISTU anaonyesha kwamba yeye alichobeba ni cha kiwango cha kuitwa mtoto(MUNGU MWANA),Kuna Nguvu zaidi (MUNGU BABA) na Mwisho kuna pia Nguvu ileile ya Mungu,tuseme ni ya wastani na imepewa kuwaongoza wanandamu wale wamchao MUNGU BABA kupitia Nguvu ya Yesu Kristu(MUNGU MWANA),
Hiyo nguvu imeitwa (MUNGU ROHO MTAKATIFU).

Sasa usipoteze muda wako kutafasiri mambo ya Rohoni katika Mwili.
Ukianza kubishana kwamba Nyukria si Nguvu ya Nishati kwa sababu ulisimuliwa ilikuwa kwenye umbo kama la mwanadamu au kama ndege umepotea.

Wewe zingatia kwamba JINA LA YESU KRISTU LIMEBEBA NGUVU IPITAYO NGUVU ZOTE NAYO NI MUNGU.
porojo
 
Back
Top Bottom