Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii aya inaua kabisa habari za Utatu Mtakatifu, unalijua hilo mkuu?Isaya 9:6-7 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Maongeo ya enzi yake na amani Hayatakuwa na mwisho kamwe, Katika kiti cha enzi cha Daudi na ufalme wake; Kuuthibitisha na kuutegemeza Kwa hukumu na kwa haki, Tangu sasa na hata milele. Wivu wa Bwana wa majeshi ndio utakaotenda hayo.
Eleza kwa upanaHii aya inaua kabisa habari za Utatu Mtakatifu, unalijua hilo mkuu?
Wale wote wanaotusumbua kuwa hakuna Mungu wasome hii aya. Watu wamejaza tamthilia za etugulu mioyoni halafu wanataka kumwona Mungu? Huu hapo ufinguo sasaMt 5:8-10
Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
Isaya 9:Eleza kwa upana
Ninavyojua Mungu ni mmoja tu naunaposema Yesu means Mungu baba, mwana na roho mtakatifu ila katika kuonesha ni Mwana ndio maana kuna kristoIsaya 9:
Isaiah
6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
6 For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.
Naye ataitwa:
1. Mshauri wa ajabu - ni Roho Mtakatifu
2. Mungu mwenye nguvu - ni Mungu
3. Baba wa milele - ni Mungu Baba
4. Mfalme wa amani - ni mfalme
Kumbe Yesu Kristo ndiye Baba na ndiye Roho Mtakatifu. Una uelewa tofauti?
Mungu ni mmoja na habari ya NAFSI TATU ndio inafaa hapa. Aliyedhaniwa kuwa ni mwana ametajwa pia kuwa ni Baba na ndiye Roho Mtakatifu.Ninavyojua Mungu ni mmoja tu naunaposema Yesu means Mungu baba, mwana na roho mtakatifu ila katika kuonesha ni Mwana ndio maana kuna kristo
16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;Isaya 9:
Isaiah
6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
6 For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.
Naye ataitwa:
1. Mshauri wa ajabu - ni Roho Mtakatifu
2. Mungu mwenye nguvu - ni Mungu
3. Baba wa milele - ni Mungu Baba
4. Mfalme wa amani - ni mfalme
Kumbe Yesu Kristo ndiye Baba na ndiye Roho Mtakatifu. Una uelewa tofauti?
Mnachanganyikiwa sana na JINA MUNGU.Mimi yesu sio mungu yupo mungu Alie niumba Bali kwa upumbavu wenu mnaniita mungu.ngojeni siku yamwisho nije kuwakana ndio mtajua Kumbe hamjui.
Hili fungu William Miller alikosea kulitafsiri akadhani lingetokea Duniani na hivyo kuwa mwisho wa dunia kumbe sivyo na badala yake lilikuwa likitokea ktk hekalu mbinguniDanieli 8:14
Akamwambia, Hata nyakati za jioni na asubuhi elfu mbili na mia tatu; ndipo patakatifu patakapotakaswa.
😂😂😂😂😂Mithali 5:20
Mwanangu! Mbona unashangilia malaya, Na kukikumbatia kifua cha mgeni?
Mgeni anayesemwa hapo sio mimi wakuu 😂😂
Mkuu, Sio nadharia yangu, ni nabii Isaya. Tatizo lako hapo liko wapi? Kipi kisichoeezekana kwa Mungu? Sijaelewa swali lako16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
17 na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
Hapa iliwezekana vipi kwa hiyo nadharia yako?
Ni nadharia yako mkuu maana ulichokitafsiri hakipatani na maandiko ndiyo maana nikakuuliza kama hivyo ndivyo kwa mujibu wa Mathayo 3 vipi Yesu anayebatizwa tena huyohuyo awe mbinguni awe baba halafu ashuke tena kama hua awe Roho Mtakatifu?Mkuu, Sio nadharia yangu, ni nabii Isaya. Tatizo lako hapo liko wapi? Kipi kisichoeezekana kwa Mungu? Sijaelewa swali lako
1 YOH. :5:8Mkuu, Sio nadharia yangu, ni nabii Isaya. Tatizo lako hapo liko wapi? Kipi kisichoeezekana kwa Mungu? Sijaelewa swali lako
Kwamba Mungu hawezi? Kwani Yesu alikuwa na asili ngapi? Ngoja nikutegulie hicho kitendawili. Yesu alipobatizwa ndipo Roho Mtakatifu akamshukia na kuwa naye. Kabla ya hapo alikuwa mwanadamu kamili na ndio maana Yohana Mbatizaji alikuwa akitumiia na Roho Mtakatifu. Unajua kwa nini baada tu ya Yesu kubatizwa na kupokea Roho Mtakatifu yohana Mbatizaji akawekwa jela? Unajua ni kwa nin8 hakukuwa tena na nabii yeyote wakati wa Yesu?Ni nadharia yako mkuu maana ulichokitafsiri hakipatani na maandiko ndiyo maana nikakuuliza kama hivyo ndivyo kwa mujibu wa Mathayo 3 vipi Yesu anayebatizwa tena huyohuyo awe mbinguni awe baba halafu ashuke tena kama hua awe Roho Mtakatifu?