Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.
Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na makongamano wanaanza kwa sala na dua?
Huko kwa wenzetu hawalitaji bure jina la mnyaazi Mungu. Shughuli zao za kiserikali huanza kwa kufuata protokali za kutambulishana kisha mengine huendelea.
Tuache kulitaja pasi na kumaanisha jina la mwenye enzi yote, Mungu wetu baba wa mbinguni, huku mkijua ninyi ni wezi, wala rushwa na wanafiki.