Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

Uko sahihi, ni ujanja na porojo tu.
Hili swala nimewahi kulizungumzia katika andiko langu “ Je Tanzania ni nchi ya kidini ” tuna kila sababu ya kubadilika .

Hizi dini kuu mbili hapa nchini hazipaswi kujishikiza na serikali katika shughuli mbalimbali za kitaifa, ifike hatua dini zipigwe marufuku kwenye maswala ya kiserikali wabaki kwenye nyumba zao za ibada na kuendeleza majukumu yao. Wanapaswa kuwekwa mbali kabisa na serikali.
 
Serikali inatafuta cheap popularity kupitia wanyonge.
 
Hili swala nimewahi kulizungumzia katika andiko langu “ Je Tanzania ni nchi ya kidini ” tuna kila sababu ya kubadilika .

Hizi dini kuu mbili hapa nchini hazipaswi kujishikiza na serikali katika shughuli mbalimbali za kitaifa, ifike hatua dini zipigwe marufuku kwenye maswala ya kiserikali wabaki kwenye nyumba zao za ibada na kuendeleza majukumu yao. Wanapaswa kuwekwa mbali kabisa na serikali.
 
Dini ni kipumbazio kikuu cha kuzuia kuchochea mabadiliko katika taifa, mioyo ya wananchi iliyo jeruhiwa ya wataka mabadiliko hupumbazwa na kutulizwa na dini hivyo hali ya mabadiliko ndani yao huzimwa .

Serikali yetu inajishika na hizi dini kuu mbili ili kuzima hali ya mabadiliko ndani ya hili taifa. Hizi dini kuu mbili zinatumika kwa manufaa ya serikali iliyopo madarakani na sio kitu kingine.

Hizi dini kuu mbili zina himiza kutii mamlaka hata kama mamlaka ni mbovu hivyo ni ngumu mabadiliko kutokea katika hili taifa kama bado tuna furahia hizi dini kuu mbili kupumbaza nafsi zetu kwa kigezo cha kulinda amani na sio kudai haki zetu.

Mapenzi yetu kwa hizi dini kuu mbili yanapaswa kupungua ili pale zinapo kosea tuwe mstari wa mbele kukataa mapotosho na mapumbazo zitoazo kwetu bila kufanya hivyo serikali itaendelea kuzitumia kwa malengo yake na faida yake binafsi.
 
Ungesoma Geography ya O-level ungeelewa sababu baadhi ya nchi au maeneo kukumbwa sana na majanga ya asili kuliko kwingine.
Hivi huwa unasoma na kuelewa au huwa unasoma huku ukifikiri kupinga?

Nimeandika:
"Kama tutaingiza mambo ya imani basi Tanzania ni moja ya nchi inayolindwa na MUNGU, hatuna kabisa majanga ya asili"

Wewe unakuja na mambo ya geography o-level kanakwamba hujaona sentensi " Kama tukiingiza mambo ya imani, na hujaona kuwa ninayemjibu anaongelea mambo ya imani kwa MUNGU.
 
Wanasema mamlaka inatoka kwa Mungu wakati mtu kapiga na kuua watu wakati wa uchaguzi

Kifupi ni kuwa watu wasiomjua Mungu kabisa kabisa wanaishi maisha ya utulivu na amani kuliko hao wanafiki
Ukipewa nchi ambayo wanaamini katika imani za dini hii ndo njia pekee ya kuhalalisha mabaya yako na wasikusumbue. Nchi zilizoendelea sio kila jambo ni la MUNGU.
 
Dini katika kipindi cha absolute monarch huko Europe ili tumika kuzima hali ya mabadiliko ya kiutawala, hii hali inayo tukumba sisi sasa ili wakumba Europe miaka ya nyuma sana.
Na jamaa baada ya kupata mbinu nyingine wakaachana na mambo ya dini,,,ndo maana sahivi hukuti wazungu wanahangaika sana na maswala ya dini sababu wameshavuka hio level , viongozi wao tayari wana mbinu nyingine ila kwa Africa dini bado ina muhimu kwa watawala maana inasaidia kuwaweka sawa watawaliwa ,hadi hapo wakipata njia nyingine ndo wataachana na dini kama mabwana zao wa ulaya
 
Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasabb tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.

Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na makongamano wanaanza kwa sala na dua?
Ndiyo maana kuna mdau alisema wimbo wa taifa urekebishwe, tunasema "wabariki viongozi wetu wakati ni wezi wakubwa"
 
Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na makongamano wanaanza kwa sala na dua?

Huko kwa wenzetu hawalitaji bure jina la mnyaazi Mungu. Shughuli zao za kiserikali huanza kwa kufuata protokali za kutambulishana kisha mengine huendelea.
Ndiyo maana hawataki kutunga sheria kali wanajua zitawazuia kufanya madudu yao
 
Na jamaa baada ya kupata mbinu nyingine wakaachana na mambo ya dini,,,ndo maana sahivi hukuti wazungu wanahangaika sana na maswala ya dini sababu wameshavuka hio level , viongozi wao tayari wana mbinu nyingine ila kwa Africa dini bado ina muhimu kwa watawala maana inasaidia kuwaweka sawa watawaliwa ,hadi hapo wakipata njia nyingine ndo wataachana na dini kama mabwana zao wa ulaya
Ni kweli kitu namba moja kilicho saidia kuzima influence ya hizi dini ulaya ni mabadiliko/ mapinduzi ya kisayansi huko ulaya.

Jamii kubwa ya wazungu walihama kutoka kwenye faith kwenda kwenye scientific facts hali hii ilipelekea mabadiliko makubwa ya mambo tofauti na mwanzo walivyo kuwa wanaya tafsiri awali.

Wanafizikia/ wanasayansi nguli walichipukia kwa kasi na kuleta mabadiliko mbalimbali yaliyo hamsha hisia mpya mfano Galileo Galilei

Wafalme walitafsirika kama ni wasemaji wa Mungu duniani baada ya mambo kubadilika jamii zilianza kuhoji kuhusu uharali wa hayo mamlaka ya mfalme huku duniani ndio maswali yao yaliyo kosa majawabu ya moja kwa moja yali hamsha hali ya mabadiliko ndani yao.

Jamii yetu kwa asilimia kubwa imepewa upofu, ukiziwi na ububu mkubwa na hizi dini kuu mbili katika kudai mabadiliko yao.
 
Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasabb tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.

Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na makongamano wanaanza kwa sala na dua?

Huko kwa wenzetu hawalitaji bure jina la mnyaazi Mungu. Shughuli zao za kiserikali huanza kwa kufuata protokali za kutambulishana kisha mengine huendelea.

Tuache kulitaja pasi na kumaanisha jina la mwenye enzi yote, Mungu wetu baba wa mbinguni, huku mkijua ninyi ni wezi, wala rushwa na wanafiki.

View attachment 2451627
Danganya toto !! Au ?!!
 
Huku ni unafiki tupu wala hakuna lolote
 
Back
Top Bottom