Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

Hizi dini kuu mbili hapa nchini hazipaswi kujishikiza na serikali katika shughuli mbalimbali za kitaifa, ifike hatua dini zipigwe marufuku kwenye maswala ya kiserikali wabaki kwenye nyumba zao za ibada na kuendeleza majukumu yao. Wanapaswa kuwekwa mbali kabisa na serikali.
Viongozi wa hizi dini mbili wanafuata bahasha mkuu. Hawawezi kukuelewa. Kinachowapeleka puta siyo msukumo wa imani ya dini zao, bali ni mvuto wa bahasha wanazopokea kama posho ya maombi feki wanayofanya.
 
Viongozi wa hizi dini mbili wanafuata bahasha mkuu. Hawawezi kukuelewa. Kinachowapeleka puta siyo msukumo wa omani ya dini zao, bali ni mvuto wa bahasha wanazopokea kama posho ya maombi feki wanayofanya.
 
Ungesoma Geography ya O-level ungeelewa sababu baadhi ya nchi au maeneo kukumbwa sana na majanga ya asili kuliko kwingine.
Bora umwambie mkuu. Nchi hii Ina watu wanaoamini kuwa hata hili jua tunaloliona kila siku ni kwasabb ya ukaribu wa Tanzania na Mungu (wokovu). Tanzania Ina nn cha ajabu ambacho Somalia kwenye njaa na vita hakuna?
 
Unafiki kitu mbaya mnoo bora mchawi!! Kwa maandiko haya nadhan umepata jibu, maana wanamchezea san mwenyez MUNGU kwa unafiki wao!! Refer viapo kule bungeni na jumba jeupe.
Yaani inachefua. Wabunge wameiba kura na kupora uchaguzi halafu wanashika bibla na misahafu kuapa Mungu awasaidie.
 
Donor Countries vile vile wanafagilia ushoga, basi tuwaige?
Hata dini zilivyoletwa hazikupokelewa kwa haraka kihivyo. Wamasai wenyewe miaka hihii ya karibuni ndio wanazipokea hizo dini. Na ushoga ni hivyo hivyo unaingia taaribu. Hali ya Sasa nafikiri unaiona au kuisikia kuhusu ushoga Tanzania. Unafikiri tutatoka mzungu akishaamua lake? Wazungu wanaakili sana, cha kwanza ni kuhakikisha tunauimba ushoga mdomoni mwetu kwanza then brain itafika Mahali tutaona sawa tu.
 
Ukipewa nchi ambayo wanaamini katika imani za dini hii ndo njia pekee ya kuhalalisha mabaya yako na wasikusumbue. Nchi zilizoendelea sio kila jambo ni la MUNGU.
Kweli
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.

Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na makongamano wanaanza kwa sala na dua?

Huko kwa wenzetu hawalitaji bure jina la mnyaazi Mungu. Shughuli zao za kiserikali huanza kwa kufuata protokali za kutambulishana kisha mengine huendelea.

Tuache kulitaja pasi na kumaanisha jina la mwenye enzi yote, Mungu wetu baba wa mbinguni, huku mkijua ninyi ni wezi, wala rushwa na wanafiki.

View attachment 2451627

Watu wenye dhambi huficha uovu wao kwa kumtaja Mungu ili kuhadaa umma kuwa ni wacha Mungu. Unakuta mtu kaingia madarakani kwa uporaji, kufanya mauji, na ukatili mkubwa, kisha akashayapata hayo madaraka anajifanya ni mtu wa maombi. Huwa nawadharau sana viongozi wa aina hiyo.
 
Dini katika kipindi cha absolute monarch huko Europe ili tumika kuzima hali ya mabadiliko ya kiutawala, hii hali inayo tukumba sisi sasa ili wakumba Europe miaka ya nyuma sana.
Una uelewa mkubwa aisee.
 
Utawala uliopita uliongoza kwa nyimbo na pambio juu ya mtawala (binadamu) na Mungu. Lakini pia WASIOJULIKANA walikuwa kila mahali. Mleta uzi umesema jambo kubwa sana.
Sala kila mahali na makanisa yoote alimaliza hadi misikiti🤣🤣
 
Watu wenye dhambi huficha uovu wao kwa kumtaja Mungu ili kuhadaa umma kuwa ni wacha Mungu. Unakuta mtu kaingia madarakani kwa uporaji, kufanya mauji, na ukatili mkubwa, kisha akashayapata hayo madaraka anajifanya ni mtu wa maombi. Huwa nawadharau sana viongozi wa aina hiyo.

Hahaha

Jambazi linakuibia unaliangalia kwa dharau likifanya umafia wake kwann lisiwaeleze wengine na kuwarithisha raha ya kukuingilia nyumbani kwako.

Anamaliza mda wake anarithisha mwingine mchezo ule ule huku akijua hakuna hatari yoyote zaidi ya dharau.
 
Utawala uliopita uliongoza kwa nyimbo na pambio juu ya mtawala (binadamu) na Mungu. Lakini pia WASIOJULIKANA walikuwa kila mahali. Mleta uzi umesema jambo kubwa sana.
Wewe usianze kuleta habari za utawala uliopita hapa kwenye maisha ya leo, huyo mama yenu yeye analiepukaje hili ikiwa analiendekeza?

Tunazingumzia scope ya uongozi wa Tz na Africa kwa ujumla, wewe unakuja na hoja ambazo hata mtoto wa chekechea hawezi kuleta.
 
Mimi nadhani hawa wazungu na waarabu kwenye dini zao za mchongo kuna kitu sisi hatukifamu ila sasa sisi ndo tumezikazania ilihali wao wanaachana nazo.
Ndiomaana hata linapokuja swala la mafanikio binafsi ya kiuchumi na kijamii utaona watu ambao wameshikamana sana na dini kupita kiasi ndio ambao huteseka hapa duniani, huku wale wengine wanaoonekana ni wasiomjua Mungu wakifanikiwa.

Ukiwauliza hawa wanaoteseka, wanadai wanapitishwa katika kipindi cha majaribu, HOW?😂
 
Back
Top Bottom