Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

MUNGU husamehe makosa. Kama tunaingiza imani basi Tanzania ni moja ya nchi zinazolindwa sana na MUNGU, nchi haina majanga makubwa ya asili hii. Masuala ya kuwawajibisha wanasiasa wetu si ya MUNGU kuyapigania. Fisadi likikuibia likitubu MUNGU anasemehe na wewe unabaki masikini.
WAchina hawana habari na Mungu, je ni majanga gani unafahamu waliyopitia ukilinganisha na nchi za wazungu/Africa
 
Ukiwauliza hawa wanaoteseka, wanadai wanapitishwa katika kipindi cha majaribu, HOW?😂
Basi hii dini itakuwa na shida kama kila anayeishika anapitishwa kwenye mateso.
 
Back
Top Bottom