Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Uko sahihi, ni ujanja na porojo tu.
Hili swala nimewahi kulizungumzia katika andiko langu “ Je Tanzania ni nchi ya kidini ” tuna kila sababu ya kubadilika .
Hizi dini kuu mbili hapa nchini hazipaswi kujishikiza na serikali katika shughuli mbalimbali za kitaifa, ifike hatua dini zipigwe marufuku kwenye maswala ya kiserikali wabaki kwenye nyumba zao za ibada na kuendeleza majukumu yao. Wanapaswa kuwekwa mbali kabisa na serikali.