MUNGU husamehe makosa. Kama tunaingiza imani basi Tanzania ni moja ya nchi zinazolindwa sana na MUNGU, nchi haina majanga makubwa ya asili hii. Masuala ya kuwawajibisha wanasiasa wetu si ya MUNGU kuyapigania. Fisadi likikuibia likitubu MUNGU anasemehe na wewe unabaki masikini.