Aseeh realy?Kuna Mmoja Mrs X Shilawadu Mwengne ni Mrs Boss
Naunga mkono clouds wama impacts kubwa kwenye mziki wa bongo na sijui kwa ninii ??sijayaskia maneno ila Clouds ndiye mastermind wa Promo za muziki Tz.
Ukikosana nao basi unahatihati ya kutotoboa.
Waangalie wasanii waliojiita timu EFM nay na wenzake naamini sokoni hasikiki kama kipindi kile cha akadumba.
Ccm yetu haina ncha mkuuHakuna marefu yasiyokua na ncha, hata RTD ilikua na nguvu, USSR ilikuwepo, Rumi ilikuwepo na hata Idd amin alikuwepo.
Management inacheza na loopholes za station zingine tu.Naunga mkono clouds wama impacts kubwa kwenye mziki wa bongo na sijui kwa ninii ??
Management ndo bora kulizo nyingine au ??
Rubby kama ni kujisafisha kweli kajisafishaa lakini labda kwa kuwa ni mwanamke sio kwa unyenyekevu ule
Ha ha ha the beuty in on eyes of the beholder arifu so huwez jua watu wamekufajeAseeh realy?
Ruby mbona kuna siku namwona FNL na lijamaa fulani.. halafu huyo manzi ni mbovu mbaya [ruby].
[emoji1] [emoji1] Mzee nawe huo msemo upo applicable kwakoHa ha ha the beuty in on eyes of the beholder arifu so huwez jua watu wamekufaje
Ha ha ha mie Mzee beauty inaaanzia kwenye Chura kwanza[emoji1] [emoji1] Mzee nawe huo msemo upo applicable kwako
Ruby kasema mwenyewe...sasa sijui alikua anampaisha boss wakeKweli?
Klauzi ndo nini?? Acha kuharibu majina ya taasisi za watu
Kweli kabisa.Kila siku nawaambia kipaji peke ake hakiwez kufikisha malengo yako katika sanaa
Lazima uwe mjanja mjanja ukiona ana mchango kweny sanaa yako we mchekee hata kinafki ilimradi upate mkate
Hata hao kina Diamond na kiba ni wasanii wakubwa lakini wanajitahid sana kwenda sawa na media
Kweli kabisa njaa ndo tatizoJide hana njaa kama rubby.