Ndoto za alinacha hizo ndugu! Always water flows downstream kuelekea baharini.Kujenga mto uzunguke urudi tena bwawani???
Si mbaya kujaribu.....Kuna mahali nimeona maji taka yanashuka kwa gravity yanamwagilia mashamba....halafu hayoo yanapita yanazunguka yanakwenda kwenye bwawa ...yanarudi tena.....Ndoto za alinacha hizo ndugu! Always water flows downstream kuelekea baharini.
To overcome that energy ili yarudi juu sio mchezo if not impossible! Duniani huko na maujanja yao yote hakuna kichaa aliyewahi kujaribu.
Kwani hakuna uwezekano wa kujenga bwawa lingine juu ( maji yanapotoka), ili liwe kama maji akiba maji yanapozidi kwenye bwawa,haiwezekani kuyarudisha juu kwa pump, kwa sababu utatumia umeme ule ule, kiasi kile kile, ulichovuna wakati maji yanaporomoka chini... First Law of Thermodynamics
Waziri anasema wameshatoa fair warning kwa raia wanaokaa chini ya bwawa!
Sasa hayo maji yanayokuja kuzoa raia Rufiji sijui yatakuwa na umeme masikini ya Mungu ???
Kwa hiyo mkuu unaona hapo unafuu uko wapi kama limejaa limekuwa kosa na lilikuwa halija jaa nalo lilikuwa kosa?Naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Dk Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakaini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Fukuza Hydrology Department yote Wami Ruvukinyume na matarajio ya awali
Basi hili bwawa halitofanya kazi kabisa kama Kuna makosa ya kiutaalamu kiasi hiki?? Kadirio iwe ni kujaa kwa miaka 2 halafu lijae kwa mwzi mmoja? !! Hii siyo error, ni mistake.Naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Dk Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakaini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Uzarendo❌Uwezi kumkimbia MAGUFURI ukataka kufuta LEGACY yake
Atakumbukwa Daima Baba wa uzarendo TANZANIA na AFRICA kwa ujumla ukiwaweka sahani moja na wamba waAFRCA kama GWIJI NYERERE DADA IDIAMIN MUGABE LUMUMBA na GADDAFI hao wamba waliamini maendeleo ya AFRCA yataletwa na WAAFRCA wenyewe
Bwawa haliwezi kuishi mileleone of the living legacy itaishi milele na milele..... vining"ina ndo vita faidi mnoooooooooo rest in forever peace uncle magufuli