Na likijaa miaka 4 mfululizo utasema nini?

Ujinga ni kipaji hapo ufipa
 
Magufuri

Dah
 
Sio chadema tu. Mbona hamuwazomei januari makamba na nape nauye japo walikua kwenye serikali ya jpm kwa kua vibaraka wa ubeberu wakadiriki kupinga ujenzi wa bwawa hilo kwa kisingizio cha mazingira.
 
CCM msivyo na haya wala akili, hata bungeni mtasema mambo hayaendi vizuri kwa sababu CHADEMA hawapo...!

Hivi CCM na serikali yenu mnayoiongoza itatokea hata siku moja mkawa wakweli kwa kufanya hata mpango mmoja tu ukakamilika kwa uzuri na watu wakafurahi na kusema "...eeh, hili wamefanya vyema...?"

Maana kila kitu ni ukweli mchache lakini uongo na blah blah nyingi. Kwa ishu ya umeme kwenu lipi ni sahihi? Maji yakiwa mengi, umeme shida. Vivyo hivyo maji yakipungua tatizo la umeme linakuwepo tu...!

CCM, hebu tuambieni lipi mlishawahi kulifanya likawa sahihi? Mnashindwa wenyewe halafu mnarusha mzigo kwa CHADEMA, mna akili kweli nyie?
 
Huoni hao kina Biteko ni vilaza wa kutupwa na wanafanya kazi kwa kubahatisha? Subiri siku si nyingi ukame unakuja ndiyo utajua CCM ni ma-vilaza.
 
Na likijaa miaka 4 mfululizo utasema nini?

Ujinga ni kipaji hapo ufipa
Naona umekuwa mganga wa kienyeji ghafla. Lisipojaa miaka minne mfuluizo je? Tunaongea mabadiliko ya tabia nchi yanayosababishwa na uharibifu wa mazingira, wewe unaongea ramli. Anyway, hakukuwa na plan kwamba maji ya kijaa zaidi ya kiwango yaende wapi hadi wazime mitambo? Mnakuwa kama mikondoo fulani vile!!!
 
Okay sawa 🐒
 
Sasa na wewe mjinga umejaa kwenye uongo wa kuzima mashine kwasababu ya maji kujaa,kwa taarifa Yako hizo mashine maji yakiwa mengi ndiyo zinahitaji haswa nyie mbuzi Poli Kila uongo mnaumeza pumbavu kabisa!
 
Yaani mmeshindwa kufanya risk analysis mnatumia CHADEMA kama kivuli cha kuzima failure zenu.
 
Kwenye HydroDams huwa kuna Spilway ambazo lengo lake ni kuzuia Bwawa kujaa Maji kupita kiasi.

Badala ya kuliongelea hilo Scapegoat ni CHADEMA?.
 
Werevu walijua hilo siku nyingi.

1.Mvua ikiwa nyingi umeme hakuna,Tanzania hiyo.Juzi tulisikia kuwa kule Kidatu/Kihansi mvua zimeiingia kwenye Machine kubwa ndio maana umeme ulikatika ghafla.

2.Mvua isipokuwepo utaambiwa umeme utakaa sawa zikinyesha umeme utakaa sawa.

3.Mvua zikiwa za kati watakuambia kuwa hazitoshi kujaza Bwawa hizo.


Sasa lipi jema kwa Nchi yetu nzuri?
Ina maana mitambo itakuwa inawashwa na kuzimwa kila kukiwa na mvua kubwa?
Mitambo tuliyoaamnishwa kuwa haitazimwa?

Bwawa walijenga kwa haraka haraka pale ikakosekana njia mbdala ya kuchepusha maji hayo mengi?

Inaama hakuna njia mbdala za kitaalamu?
Baadae waje waseme kuwa maji yaliyofungilwa yalikuwa mengi sana ndio maana umeme pia hautoshi pale.
 
Yeye Bashe, inamaana kilimo chake anakifanyia wapi,??.

Hayo maji sindo yatumike pia kufanya Kilimo Cha umwagiliaji
 
Inawezekana anahujumiwa kwa makusudi ili aonekane hafai? Inawezekana vipi iwe hivi wakati yeye ndio top anajua kila kitu kinafanyikaje hapa kisiwani? Ndio asijue wanaomfanyia haya??? Wakubwa zaidi yake? Najiuliza tuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…