Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

Mimi nawalaumu marekani, wasingetangaza ban wangemuacha aende marekani wamkamate.
 
Bashite tunasumbuka naye tu na anatuumiza vichwa bure jamaa hakupata malezi ya wazazi na anaoneka ana matatizo ya kisaikolojia tuachane naye tu jamaa tatizo malezi mabovu.
Malezi mabovu ndiyo aje kuiletea ujinga jamii huko kwa kutokulelewa sawasawa na wazazi wake

Haiwezekani

Bashite na baba yake must GO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda naye ni kiboko! Wenzie wanaepusha mikusanyiko kuzuia watu wasiambukizane yeye anawakusanya watu na kuwaambia wawapuuze watu wanaotaka kufanya mikusanyiko ugonjwa unaua. I see hii kweli Tanzania ya viwanda.
 
Binafsi nilisha wachaga kwenda kwenye nyumba za ibada kabisa

In God we Trust
Unaachaje sasa kisa unafiki wa watu wengine..!?? Au nawe upo hivyo, na umeona njia sahihi ni kutokwenda huko..!!? Remember kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe...
 
Jamaa na lile domo lake pana kama bakuli kwa kupewa kiburi na Magufuli anajiona Tanzania hakuna wa kumgusa anaweza kuropoka lolote kama afanyavyo babake
Anasahau kuwa kwenye siasa na nafasi hizi alizonazo, UMRI WAKE NI MDOGO, NA ANA SAFARI NDEFU YA KWENDA... SIKU MBELEKO IKIACHIA NAFASI KISA UMRI, NDO ATAJUA KUWA HAJUI..!!!
 
Malezi mabovu ndiyo aje kuiletea ujinga jamii huko kwa kutokulelewa sawasawa na wazazi wake

Haiwezekani

Bashite na baba yake must GO

Sent using Jamii Forums mobile app

Napenda kuuliza hivi malezi mazuri au mafundisho ya kumjenga mtoto kuwa na tabia nzuri hufanyika wakati gani au hufanyika katika umri upi
 
Makonda naye ni kiboko! Wenzie wanaepusha mikusanyiko kuzuia watu wasiambukizane yeye anawakusanya watu na kuwaambia wawapuuze watu wanaotaka kufanya mikusanyiko ugonjwa unaua. I see hii kweli Tanzania ya viwanda.

Hahahaha.Tanzania bwana,usanii mtupu
 
Huyu bwana ukiambiwa alizungusha alizungusha kweli. Naombeni tumpuuze kwa nguvu inayostahili.
 
Pole sana kwa kukukwaza
In God we Trust
 
Bashite na baba/babe wake hawastahili kuitwa wakristo kwani wanaunajisi ukristo. Hawa na wauaji wanaoficha uovu wao kwa kupiga picha wakiwa kwenye nyumba za ibada
 
Kuhusu kiongozi wa mkoa unayemzungumzia, napenda kumnukuu Zitto "Ukiona kifaranga kipo juu ya chungu ujue chini kuna mama yake"

Kifaranga hupata ujasiri kutoka kwa mama yake
 
Napenda kuuliza hivi malezi mazuri au mafundisho ya kumjenga mtoto kuwa na tabia nzuri hufanyika wakati gani au hufanyika katika umri upi
Nadhani ni vema tutafakari maisha aliyopitia hasa kipindi anaishi kwa mzee Six kama msaada kwa ufukara wake.
Yasemwayo kama ni kweli kuwa alikuwa anadhalilishwa kingono lazima yaweza kusababisha uharibifu wa akili. Hilo limetokea kwa vijana wengi walio haribiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…