Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

Hivi mnataka wafanyeje ndo muelewe? Kwenye awamu hii Kama wewe si mwanaccm basi wewe si mtanzania.awamu ya tano ccm si chama cha siasa tu Bali nchi,serikali and everything.kama hauko humo uhusiano wako na wao ni kwenye kulipa Kodi tu mingine utajua mwenyewe.Mbona hili la mbowe ni dogo kuliko issue ya Lissu na Mambo mengine wanayotendewa wapinzani,shida yenu ni kuwa na vichwa vigumu kuelewa
 
Bashite ni mpumbavu , hata aliyemteua nina mashaka naye. Nikuhakishie Dotto kuwa huyo muuaji huyu haya anayowatendea binadamu wenzake lazima yamkute

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtu kweli kama laana zipo basi naamini ipo siku atajuta na kukumbuka

In God we Trust
 
Ccm ni janga la taifa na ili taifa lichanue kwa watu waishi kwa amani na furaha basi ccm inabidi iondolewe tu

In God we Trust
 
Kuhusu kiongozi wa mkoa unayemzungumzia, napenda kumnukuu Zitto "Ukiona kifaranga kipo juu ya chungu ujue chini kuna mama yake"

Kifaranga hupata ujasiri kutoka kwa mama yake
Hilo halina ubishi na kila mtanzania na wasiyo watanzania wanalijua

In God we Trust
 

Napenda kujua toka kwa wazefu na wataalamu wa Psychology ni muda gani unaweza ku shape tabia nzuri ya mtoto katika jamii akaonekana kuwa ni mzuri na anaendana na watu anaoshirikiana nao mfano ni mtoto kama anaweza kusema neno "nisamehe" basi akiwa kikojozi na ukamchapa mpaka akasema nisamehe huyo ni kweli hatarudia kukojoa kitandani au niseme Child milestone at which age unaweza kuitumia kumkunja ili aendane na social souroundings zake? baada ya hapo ndio tunaweza kuongea mengine
 

Tuanze na wewe, hujawahi kufurahia mabaya kwa makonda? Je hujawahi kufulahia mabaya kwa serikari au Raisi? Je hujawahi kufulahia mabaya kwa watu wasio katika chama chako kama CCM? Je wewe ni muuminu wa dini yoyote na unaenda kusari? Naomba jibu hapo kisha tuendelee na ishu ya makonda.
 
Haya yote uliyo andika anapaswa kuyajibu mwana ccm
In God we Trust
 
Wewe kama sio shoga ni bahati, utauonaje msabwanda kwa mwanaume mwenzako kama huna nahusiano na hizo tabia?
Hivi wewe ni she au he? Ila naona kama ni she

In God we Trust
 
Nanukuu maneno aliyowahi kusema BASHIR ALLY kwa baba askofu mkuu KKKT PhD shoo kwamba "VIJANA WETU HAWAKUANDALIWA KUWA VIONGOZI ndiyo haya ya Paulo Makonda aka bashite kuwa kiongozi mbovu kuwahi kutokea katika sayari hii, wewe ulifundishwa na yeye hakuwahi kusoma somo la uongozi sasa huo ufariji ataujulia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo atafundishwa kwa karma na haijawahi kuwa salama yaani watu wapo busy kuwaombea watu wa Italy wasiowafahamu yeye anashukuru mtoto Mtanzania kuugua Corona na zaidi anasema eti amewaagiza madaktari kuwa wamshughulikie vizuri kwa hiyo madaktari wanafanya kazi kwa maagizo yao inabidi awaombe msamaha kwa kudharau professional yao ila kwa kuwa bongo wanachukulia poa itakua hivyo hivyo....
 
Kweli kabisa na huwa najiuliza kama huyu mtu huwa anayafanyia evaluation maneno yake mara baada ya kuyatoa mbele ya jamii.
In God we Trust
 
Hata mimi iliniumiza sana akilini yaani yeye ni kama nani awaagize madaktari kumtibia mtu?
Ina maana madaktari wetu walihitaji maagizo kutoka kwa kiongozi wa mkoa ili kumtibia mgonjwa?
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…