Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

Kiki ilikuwa ya kuwapa Watu attention juu yake. Alikuwa amesahaulika.
 
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ziko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu MHESHIMIWA Majaliwa Kassim Majaliwa.
 
Ungekuwa muwazi kidogo, Mamlaka kwako ni kitu gani? Mfano tumeona Waziri wa Afya akitoka hadharani na kuonya tabia iliyofanywa na Makonda, hii sio MAMLAKA?

Familia ya Mbowe ikitoka hadharani na kulaani kitendo kilichofanywa na Makonda na kumpuuza, hiyo sio HATUA?
 
mbona walomnanga mheshimiwa kwamba jogoo hawiki na hata akiwika hatoi sauti ya kumwamsha alolala, na wazungu wakitoka hawana uwezo wa kufika ikulu kukamilisha uumbaji..wazungu wanafia njiani...mbona nao hawajakemewa?
 
Mnatuchosha na kelele zenu Aisee.. Ishiii tumbafu hivi hamuelewi au kukubali makonda alisha washinda mazuzu nyie..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda hajata jina la mgonjwa yeyote, alotaja ni Mbowe na ndo alokemewa na waziri Ummy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli unaweza kusemwa kwa maneno mafupi " Makonda ameiweka mfukoni serikali ya Tanzania" hakuna anayefurukuta, na ana uwezo wa kumfokea kiongozi yeyote hapa Tanzania, akiwemo na aliyemchagua
 
Hivi tundu Lissu Yuko wapi sikuhizi? Tangu corona ianze simsikii
 
Nakumbuka mheshimiwa rais alitoa maelekezo kuwa mwenye mamlaka ya kutoa updates za Coronavirus nchini ni Waziri wa Afya na Waziri Mkuu peke yao.


Nimesubiri sana kuona RC Makonda akiadhibiwa kwa kutotii mamlaka ya juu nchini sijasikia hata karipio.

Kwa kuwa rais alisemea hadharani na Makonda alikosea hadharani basi hata karipio lingefanywa hadharani ili kuondoa dhana ya kuwa RC Makonda ni untouchable.


Lazima wateule wa rais wawe wa kwanza kumtii rais.
 
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ziko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu MHESHIMIWA Majaliwa Kassim Majaliwa.
Makonda hayuko chini ya Majaliwa, alishamweleza wazi kwamba hata aliyemteua (PM) anamjua, yaani alimteua Makonda anajua ukubwa wake dhidi ya PM na wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona walomnanga mheshimiwa kwamba jogoo hawiki na hata akiwika hatoi sauti ya kumwamsha alolala, na wazungu wakitoka hawana uwezo wa kufika ikulu kukamilisha uumbaji..wazungu wanafia njiani...mbona nao hawajakemewa?
Tueleze ni kwenye hadhara ipi hayo yalitamkwa, na yalitamkwa na kiongozi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…