Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Huyo ni mtoto wa Jiwe muacheni aseme anachojisikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatuchosha na kelele zenu Aisee.. Ishiii tumbafu hivi hamuelewi au kukubali makonda alisha washinda mazuzu nyie..Nini tatizo nchini mwetu mh Makonda kumnanga mgonjwa hadharani.
1.Sijasikia mamlaka hasa maadili wakikemea sakata la makonda kumnanga mgonjwa hadharani.
2. Sijamsikia mgonjwa akichukua hatua stahiki dhidi ya mheshimiwa Makonda
Is very unethical kwa kiongozi mwenye kundi la watu nyuma yake kuonyesha mfano kama aliouonyesha mh Makonda .
Mh namshauri awe anadouble check na washauri wake nini cha ku publish kabla hajaja hadharani maana kila akijitahidi ni lazima aharibu sehemu. Hatuwezi sema kuwa bado anajifunza ila kwa kumnanga mgonjwa .hii ni kadhia kubwa kama hajui utaratibu .
Makonda hajata jina la mgonjwa yeyote, alotaja ni Mbowe na ndo alokemewa na waziri Ummy.Ungekuwa muwazi kidogo, Mamlaka kwako ni kitu gani? Mfano tumeona Waziri wa Afya akitoka hadharani na kuonya tabia iliyofanywa na Makonda, hii sio MAMLAKA?
Familia ya Mbowe ikitoka hadharani na kulaani kitendo kilichofanywa na Makonda na kumpuuza, hiyo sio HATUA?
Ukisema MTOTO wa MBOWE 90% tayari umurahisisha kazi ya kumtambulisha mgonjwa.Makonda hajata jina la mgonjwa yeyote, alotaja ni Mbowe na ndo alokemewa na waziri Ummy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulitaka asiwekwe wazi aambukize wengine... Sio nyie mnaosema serikali inaficha takwimu iweke wazi
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ziko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu MHESHIMIWA Majaliwa Kassim Majaliwa.
Upuuzi mtupu, mgonjwa gani alonangwa? kuna mtu aitwaye "mtotowambowe" nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda hayuko chini ya Majaliwa, alishamweleza wazi kwamba hata aliyemteua (PM) anamjua, yaani alimteua Makonda anajua ukubwa wake dhidi ya PM na wenzake.Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ziko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu MHESHIMIWA Majaliwa Kassim Majaliwa.
Tueleze ni kwenye hadhara ipi hayo yalitamkwa, na yalitamkwa na kiongozi gani?mbona walomnanga mheshimiwa kwamba jogoo hawiki na hata akiwika hatoi sauti ya kumwamsha alolala, na wazungu wakitoka hawana uwezo wa kufika ikulu kukamilisha uumbaji..wazungu wanafia njiani...mbona nao hawajakemewa?
Kakushinda wewe unayekula kwake, acha upumbavu.Mnatuchosha na kelele zenu Aisee.. Ishiii tumbafu hivi hamuelewi au kukubali makonda alisha washinda mazuzu nyie..
Sent using Jamii Forums mobile app