King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Alikwambia yeye ni muislam?
Kufunga ndoa ya kiislam sio kuwa muislam.
hhahahahaha๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ umenichekesha ujue nikivuta picha alafu ukute unamiguu mirefu ๐ ๐ ๐ kiwiliwili nje miguu mtoniHapa migombani nipo vedi nabiringika huko mtoni na kata ya mbege tu๐
Mbona wachache? kati ya 5 basi wanne wanakula NOAH.Katika wavaa kobazi 5, wawili wanang'ata NOAH kama kadawia.!
Hatari sana, mimi kuna mdada wa wavaa Kobazi hua ananipikia kabisa mixer na mchicha aiseee.... anajua sana.Mbona wachache? kati ya 5 basi wanne wanakula NOAH.
Na nina miguu mirefu kweli ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃhhahahahaha๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ umenichekesha ujue nikivuta picha alafu ukute unamiguu mirefu ๐ ๐ ๐ kiwiliwili nje miguu mtoni
Unakua kama masista wa roma๐Nimekuwaje?
Hii ndiyo picha yangu pendwa ya wakati wote
Hongera kwa kuwa na viungo virefu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Na nina miguu mirefu kweli ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hahahha miguu tu lakniHongera kwa kuwa na viungo virefu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ yote๐Hahahha miguu tu lakni
Mama mchunga nakufuta cheo chako๐๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ yote๐
ulinivikaMama mchunga nakufuta cheo chako๐๐๐๐๐
Kweli?Unakua kama masista wa roma๐
Umenikumbusha mbali ๐๐ nyie masista mna ngozi ina vinywele fulani muishi milele aseeeee๐Kweli?
Hata hivyo,mimi ni sister
Mbali wapi?Umenikumbusha mbali ๐๐ nyie masista mna ngozi ina vinywele fulani muishi milele aseeeee๐
Miaka hiyo nikiwa kijana mdogo๐Mbali wapi?
Ulifanyaje na masista?Miaka hiyo nikiwa kijana mdogo๐