Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Haahaaaa uchawa una mwisho! Yuko wapi pierre liquidNaona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
Poa mzala uwe na siku njema bhana..pana uzi wa afya umeongea kitu cha maana sana leo huyu Dotto muhuni achana nae..Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
Hata Mimi.Sisi tusiokuwa na magari hapa hatuusiki kabisa.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Haahaaaa uchawa una mwisho! Yuko wapi pierre liquid
Haha,"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Yaani Masikini kama Wewe uwe na Gari?Yaan wewe Huna Hata Bike unadharau IST?
Wajinga ni wengi nchi hii.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Ngoma ikilia sana,mwisho wake huwa inapasuka.........
Hata Baiskeli sina mkuu.......nimetoa mfano tu wa msemo wa Kiswahili ngoma ikilia sana mwisho wake hupasukaNaona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
Wala sio swala kubishana namiliki nini? kuidharau IST ni ujinga.Yaani Masikini kama Wewe uwe na Gari?
Wapumbavu ni wengi nchi hii.
Kwani lazima watu wote wawe sawa na wanaoendesha boda na bajaji utasema nini?Hajakuombea mabaya ila ametamani uendeshe gari nzuri kama yeye uachane na I s t
Si mmiliki wa IST wala sijawahi endesha hili gari although na gari ya juu but to be honestly hiyo ni dharau peo max . Kila mtu anaendesha anacho kimudu kutokana na uchumi wake, watu hawawezi fanana kiuchumi"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Somebody standard 4 failure hajafika hata standard 7 and he feels proud to be such a bogus personHivi macars ndo yule dingi msanii bongomovie au mwingine?
Mmh sawa ndo yule dingi?nipo porini hukuSomebody standard 4 failure hajafika hata standard 7 and he feels proud to be such a bogus person
Mgonjwa wa akili sio lazima awe anayeokota Makopo mtaani"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Tukupe pichaMmh sawa ndo yule dingi?nipo porini huku
Hairuhusiwi hata kusogelea parking za magariJe sisi tunao miriki baskeli tunakaa kundigani