Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Haahaaaa uchawa una mwisho! Yuko wapi pierre liquidNaona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.