Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
Haahaaaa uchawa una mwisho! Yuko wapi pierre liquid
 
Poa mzala uwe na siku njema bhana..pana uzi wa afya umeongea kitu cha maana sana leo huyu Dotto muhuni achana nae..
 
Haahaaaa uchawa una mwisho! Yuko wapi pierre liquid
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haha,
Ungetupia clip yake akisema ingependeza
 
Ngoma ikilia sana,mwisho wake huwa inapasuka.........
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
Hata Baiskeli sina mkuu.......nimetoa mfano tu wa msemo wa Kiswahili ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka
 
"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.

Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Si mmiliki wa IST wala sijawahi endesha hili gari although na gari ya juu but to be honestly hiyo ni dharau peo max . Kila mtu anaendesha anacho kimudu kutokana na uchumi wake, watu hawawezi fanana kiuchumi
Wo aheshimu wenzie else hiyo ego itakuja mpeleka pabaya
 
"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.

Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Mgonjwa wa akili sio lazima awe anayeokota Makopo mtaani
 
Mmh sawa ndo yule dingi?nipo porini huku
Tukupe picha

Dotto Magari huyu Influencer mtandaoni
maxresdefault-3666412430.jpg

Charles Thobius Magari huyu Muigizaji
maxresdefault-1665508074.jpg

Usiwamix
 
Ni maamuzi tu ya kila mtu, kila mtu yuko huru kumiliki kinachomfaa.

Mjapan alipotengeneza IST aliitengeneza kama gari simple yakutembelea mjini.

Kutembelea Toyota V8 Dar es salaam ndio ushamba sasa, kama issue ni hela nao ni washamba tu tunawashangaa hawana Bugati, Mercedes McLaren, Felari, Chev, Jeep, Dodge, Maserati, Royce Royce, Tajiri huna hata PJ Gulf stream nk, Tajiri huna hata Yatch kitu Mangusta nk.
 
Back
Top Bottom