"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Hawako selective..
Wako openly biased...hawajali Nani anasema nini..
Ni mavuno ya kuwaendekeza na kuwapa platforms unnecessary.....

Watu wanatazama .. ukweli unaonekana.. wanachokipanda watakivuna
 
Hawako selective..
Wako openly biased...hawajali Nani anasema nini..
Ni mavuno ya kuwaendekeza na kuwapa platforms unnecessary.....

Watu wanatazama .. ukweli unaonekana.. wanachokipanda watakivuna

Inasikitisha sana,by the time demokrasia ndan ya nchi hii inapondwa pondwa hadharani na wapinzani kupigwa risasi ndan ya viunga vya bunge na kadhalika,waligeuka kuwa mabubu kabisa.
 
TEC walitoa wakala mzito dhidi ya utawala wa Magufuli kwenye issue ya demokrasia.

Umewasahau maaskofu akina Severine niwemugizi walionyang'anywa passport?

Umemsahau askofu Bangoza?

Umemsahau Father Raymond Saba?

Umesahau Maaskofu walivyomkatalia wazi Magufuli kwenye issue ya Covid?
 
Ishu ya COVID ilikua wazi na kituko Cha dunia,wangefanya nin Zaid ya kulinda waumin wao?

Besides hakuna bandiko lolote kuhusu demokrasia na Utawala mbovu wa Magufuli ambao maaskofu walithubutu kutoa Waraka,kama upo weka hapa tuone
 
Umeandika uongo wakati wa JPM maasikofu walitoa nyaraka mbili kuukosoa utawala wake.
Huyo mpuuzi ana fikra finyu sana, wanataka yeye na kundi lake kutupeleka kimsimamo wanaotaka wao, kutetea uovu, tabia waliyokuwa nayo miaka mingi hapa JF, hawajui huu ni muda wa fikra mpya, za kizazi kipya, haya mawazo yao chakavu hayana nafasi tena.
 
Kabisa, walikuwa wapi kutoa Waraka zao kipindi JPM anaua demokrasia ndan ya nchi hii
Wewe bogus, unataka kuambiwa mara ngapi Kanisa Katoliki lilitoa waraka kupinga maovu ya JPM?

Umekurupuka kuja na agenda ya kipuuzi isiyo na ushahidi, unaambiwa ukweli, sasa umebaki kuona aibu tu, umeamua kujigeuza jiwe lisilosikia..

Punguza upuuzi kichwani mwako, Samia ni shetani msaliti.
 
Huyo mpuuzi ana fikra finyu sana, wanataka yeye na kundi lake kutupeleka kimsimamo wanaotaka wao, kutetea uovu, tabia waliyokuwa nayo miaka mingi hapa JF, hawajui huu ni muda wa fikra mpya, za kizazi kipya, haya mawazo yao chakavu hayana nafasi tena.
Wao ni wadini kwa hiyo wanajua ukiwakosoa alafu usiwe wa dini yao ni mdini kama wao si ajabu ni ruksa kumwita kafiri asiye wa dini yao
 
Nawe umekuwa mwongo. Kumbukumbu yàngu ni kuwa TEC daima wamekemea maovu katika Awamu zote. Pengo kama yeye alijitokeza kumkumbatia Makonda na Magufuli, not TEC. Refresh your mind!
Tupe mfano wa maovu waliyokemea kipindi cha Mkapa na Magufuli. Tuwekee ushahidi humu. Kwa ufupi Pengo na TEC ni wadini wakubwa.
 
Tunaojielewa kwa sasa tunazililia bandari zetu za Tanganyika zilizotolewa kwa mwarabu, wamepewa milele, hizi kelele zako za 1992 kawatafuteni wajinga huko mbali muwadanganye nazo.
 
Tupe mfano wa maovu waliyokemea kipindi cha Mkapa na Magufuli. Tuwekee ushahidi humu. Kwa ufupi Pengo na TEC ni wadini wakubwa.
Hoja ya mkataba hamuijibu mnajificha kwenye uislamu tibaijuka kashawaambia jibuni hoja kuhusu mkataba na sio kujificha kwenye uislamu na uzanzibar kwenye maswali yanayolenga mkataba na sheria
 
Tuwekee hiyo mikataba ya hovyo ya migodi hapa tuijadili, usilete story zako za kusadikika, kachezeeni akili za wajinga, kwa sasa bandari za Tanganyika zirudi, hamuwezi kuzitoa kwa mwarabu milele, hata wajukuu zako watakuja kukulaani kwa haya mawazo yako hapa.
 
Mmeanza, yaani muuze nchi watu wawachekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…