DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

TUMECHELEWA SANA MAMA SAMIA HAWA TUWAPE NA AIRPORT
HAWA N MAJEMBE YA KUTUPELEKA KANAANI
 
Sikukosei heshima, ila wewe ni mjinga.

▪︎ Swissport wameuziwa viwanja vya ndege?

▪︎ TICTS wameuziwa bandari?

▪︎ Kuna mtu anatilia shaka utendaji wa DPW?

Watanganyika hatupingi uwekezaji, wala ubia, bali kuiuza bandari.
 
Twambie hao walopewa uwanja wa ndege tokea mwaka huo mpk leo tumepata faida gani kama taifa wakati wanakabidhiwa uwanja wa ndege nadhan tz tulikuwa na ndege je zlienda wapi?

Hasara znazosemwa na CAG KILA MWAKA ZNATOKANA NA NN IKIWA UWANJA UNAENDESHWA VZURI NA WAWEKEZAJI?
 
Labda sababu hao sio DP World; tuwaulize DP kama na hili wanaweza kufanya...
 
Sikukosei heshima, ila wewe ni mjinga.

▪︎ Swissport wameuziwa viwanja vya ndege...
Mnataka tuendelee kubaki misri wachachee muendeleee kula bandarini pls

Mama samia ikumbuke na airport tuwakabidhi hawa waheshimiwa tunataka maendleo ya wote sio wachache
 
Wanalijua hili bali shida yao kuu ni mwekezaji kuwa ni mwarabu. Mkataba huu una lugha ngumu yenye nia ya kulinda mali na mtaji wa mwekezaji.

Tanzania Ina bandari nyingi, hakuna mwekezaji mwenye akili timamu atakubali kuweka mapesa yake mengi kwenye bandari ya dar leo halafu kesho Tanzania inampa mwekezaji mwingine kwenye bandari ya Tanga na keshokutwa anapewa mwekezaji mwingine bandari ya mtwara watakaoshindana na bandari ya dar kufanyakazi ileile kwa muda uleule; Au serikalini yenyewe ikaamua kuboresha bandari zake nyingine kwa kiwango cha juu kiasi Cha kutoa upinzani mkubwa kwa mwekezaji wa bandari ya DSM.

Hali ikiwa hivyo yule mwekezaji wa bandari ya dar atarejeshaje fedha yake kwa miaka mingapi? Tusifikiri wawekezaji ni wapumbavu kama sisi. Kama Huyu mwekezaji angekuwa ametoka Vatican huenda baadhi ya wakosoaji wa mkataba huu tusingewaona.

Wanalijua hili bali shida yao kuu ni mwekezaji kuwa ni mwarabu. Mkataba huu una lugha ngumu yenye nia ya kulinda mali na mtaji wa mwekezaji. Tanzania Ina bandari nyingi, hakuna mwekezaji mwenye akili timamu atakubali kuweka mapesa yake mengi kwenye...
Kwanini hataki ushindani dunia hii huria?
 
haooooo wanapiga keleleee wana maslah bandarini
bandari ina mambo mengi ndugu usisikieeee kuna watu wanatoka na hadi mil/day
wanajua wakija hawa michongo inakufa
ushauri huu mzigo tushautua muda ukifika utaongea kama hamjajiaandaa na uraian muanze sasa
jichanganyeni na watu
 
Ka

Bisa
 
Ndugu zanguni

Naomba niwakumbushe tu kua huduma za Uwanja wa ndege wa Dar zinaendeshwa na Swissport ambayo ni kampuni ya Switzerland toka mwaka 1985 ambapo wengi mnaopiga mayowe mlikua bado hata haijuilikani kama mtakuaja Duniani. Lakini kwa kua utendaji wao ni wa kiwango cha juu ndio maana wako mpaka leo pale

Haya tusitokwe mapovu. Swissport wanahudumia viwanja zaidi ya 200 duniani. Kwa wale mliowahi safiri lazima umeona mabango yao

TICTS wako bandarini miaka 33 sasa na hawajawahi nunua hata crane moja na utendaji wao umekutuumiza sana Wafanya biashara. Yaani mara kwa mara tumezoea kumuona Mh Waziri Mkuu akienda pale kuwahimiza wafanye kazi kwa bidii makontena yatoke. Hata hii ya masaa 24 ni baada ya Mh Waziri Mkuu kuwaambia wafanye kazi masaa 24 kuondoa msongamano port

Ndugu zanguni , sijawahi sikia mtu akilalamika kuhusu Swissport sababu utendaji wao ni wa kiwango cha juu sana.

Tumechoka hii aibu ya meli kukwepa bandari ya Dar sababu ya miundombinu mibovu.

NB: Natoa kauli hii nikiwa mmoja wa watumiaji wakubwa wa bandari na sio chawa asiejua hata meli ina magurudumu mangapi.

Niko tayari kukaa meza moja na Rafiki yangu wa Zamani Lema tulijadili hili ili wazi na kwa Data. Juzi nimemsikia akiongea kwa data za kupotosha. Ili mwananchi wa kawaida aelewe ninaomba niwekwe uwanja mmoja nae tujadiliane kwa hoja. Naamini hata yeye atanielewa na atakubaliana nami
Plagiarism,

Unacopy kwa Chris Lukosi unakuja kupaste JF.

Yule akishalewa bia zake huwa anaandika ujinga wowote,

Wakati yeye yupo kijijini mwaka 1985 DAHACO ndio walikuwa wanatowa huduma airport Dar

Swissport imekuja miaka ya juzi tu na mpaka sasa hiyo kazi haifanywi na Swissport peke yake kila kampuni ina ndege zake.

Usipende kudandia vitu usivyovijuwa.

Cc: barafu Pdidy
 
Kwanini hataki ushindani dunia hii huria?
AAaaa!! unapokubali kuwekeza maana yake umejipigia hesabu za magazijuto kujua ukubwa wa biashara, wingi wa wateja na faida utakayoipata. Ndio maana wenye biashara ya malori wanaihujumu treni ya mizigo, na wenye usafiri wa mabasi wanaikasirikia treni ya abiria. Ndio maana mwekezaji anataka lazima apewe taarifa yeye kwanza kama serikali itataka kukodisha au kuboresha bandari yake nyingine ili ikiwezekani apewe yeye aiboreshe na kuiendesha ili kupunguza upinzani na ushindani.
 
Mbona Marekani amepewa bandari moja tu, nyinginezo wanapewa wengine na zinaendelezwa? Same kwa Uingereza?
 
Mbona Marekani amepewa bandari moja tu, nyinginezo wanapewa wengine na zinaendelezwa? Same kwa Uingereza?
Hajasema wasipewe Wala kuendelezwa, bali aambiwe mapema ili ajipange kulingana na mwekezaji mpya. Hata hivyo volume ya biashara/mizingo kwenye nchi inayohudumiwa na bandari ni muhimu sana, hapa Tanzania Kuna vijimizigo TU kulinganisha na US.
 
UTOAJI HUDUMA HAUJAFIKIA VIWANGO VINAVYOTAKIWA KIMATAIFA
Prof. Mbarawa amesema: "Pamoja na kuchukua hatua mbalimbali za maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, bado ufanisi katika utoaji Huduma za haujafikia viwango vinavyotakiwa kimataifa.” - Profesa Mbarawa.
 
Kwani makubaliano ya mkataba huo yanafanana na ya mkataba wa huku Bongo.je sheria itakayotumika huko UK ni ya Tanzania na kesi kuamuliwa Arusha -Tanzania

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom