TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
We are interested with our "interest" as a nation.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyahudi na Ukristo mbona ni imani mbili tofauti au hujui?Kama vile wagalatia wanavyojipendekeza kwa Mayahudi na wazungu sio?
Mimi najua na nimesha waelewesha sana humu kua Judaism haikubaliani na christianity ila wao wanajua kua Yahudi ni mwenzao na hawataki kuelewa,Uyahudi na Ukristo mbona ni imani mbili tofauti au hujui?
Sema kuhusu mzungu tu
DP World nilikuwa siwajyi kabla, nani alikwambia nilikuwa nawajuwa? Au unejidangabya tu kichwani mwako?Fa
Fala wewe unajidai unawajua DP World! Mbona kabla hawajakuja hukuwahi kuwataja popote kima wewe wakati wa kampeni zako chafu za kidini! Boya tuu wewe fala
Kweli hata uchumi tumewapitaUingereza Kwa sasa ni kama sisi, hawana akili kabisa, ndio maana wanaoongozwa na mgeni!
Wewe ni mtumwa,Naona hoja za bandari zimekushinda umeanza kuhororoja, kubwabwaja na kubweka bila mpango.
Kwa kutumia lugha yako, Uingereza siyo jirani yetu. Jirani zetu ni wanaotuzunguka. Ususahau hilo.
Tunaisikfia DP World kwa kuwa tumepeleka posa tuoane nao. Sasa Wajomba lazima tuwasifie sifie msiipingepinge ndoa ingawa wajomba wenyewe ndiyo mpo vile. Kina Deus Soka.
Waarabu wanasema "mjomba ni mzazi hata kama ni kiazi cha orojo".
Utajaza.mwenyewe mjomba.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Kilichokutisha ni huo mkusanyiko wa makontena? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya
Ukute ndio SSH mwenyewe anajipigia promo😉Aisee bibi, kwenye hili la dipii woldi una kiherehere kama mkojo wa asubuhi.
Au na wewe ushahongwa kidogo?
Tuone mikataba waliyoingia na Uingereza ili tuufananishe na wa Tz!DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
Chanzo: DP World in the UK
Umeliona hilo eeh? Mwanamke makalio.
Tazama DP World wanafanya nini Uingereza👇🏾
Mambo hayo 👆🏾tunayataka Dar haraka sana.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Sawa kabisa, mambo bado, kuna mikataba 36. Jionee 👇🏾Sio Dar mkataba unasema bandari zote,pamoja na zile kwenye maziwa makuu.usijitoe akili
DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.