Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aIpingaye DP kinachopingwa ni mashariti ya mkataba. Sote twataka mabadiliko ila sio ya style ya Richmond with their capacity chargesNaunga mkono waarabu waje.
Wanaopinga ni wanafiki maana hawakuonekana kwenye maandamano
We hayo masharti umeyaona wapi?Hakuna aIpingaye DP kinachopingwa ni mashariti ya mkataba. Sote twataka mabadiliko ila sio ya style ya Richmond with their capacity charges
Hivi wewe ni Mtanzania kweli?Kwamba maslahi ya nchi yetu na vizazi vyetu si kitu mbele ya dini yako?Sawa kabisa, mambo bado, kuna mikataba 36. Jionee [emoji1484]
Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje. Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini...www.jamiiforums.com
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wewe maslahi gani ya nchi unayoyajuwa wewe zaidi ya Mama Samia Suluhu Hassan?Hivi wewe ni Mtanzania kweli?Kwamba maslahi ya nchi yetu na vizazi vyetu si kitu mbele ya dini yako?
Mimi nakushauri friendly,kama.unaupenda kwa dhati huo uislam wako basi tafuta loudspeakers ukahubiri mitaani usilimishe watu kuliko usilimishaji wa nchi unaoutafuta.Baada ya mwaka 2025 utakuwa frustrated hao waarabu wako watakapofurushwa na regime mpya
DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
Chanzo: DP World in the UK