TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Aisee!!! Unajua maana ya utashi wa kisiasa lakini? Mwenzako kasema ni wizi wewe unasema Wataalamu wetu walizubaa!!! Kazi mnayo!kama wataalamu wetu wana uwezo walikuwa wapi siku zote kuyafanya hayo,unajua ni kiasi gani cha mapato kitaongezeka kupitia maboresho ya mifumo hiyo ya TEHAMA kuboreshwa au unafuata ushabiki tu wa kupinga pinga...fuatilia kiwango cha mapato kitakachoongezeka baada ya maboresho ya mifumo hiyo
Vijana wetu wame table propasals kibao za maana za mifumo ya TEHAMA serikalini, tena zenye gharama ndogo na usalama wa kutosha ukilinganisha na za nnje,lakini zinapigwa chini bila sababu yoyote ya msingi, kisha wanapewa makampuni ya nnje kufunga mifumo hiyo kwa gharama maradufu.kama wataalamu wetu wana uwezo walikuwa wapi siku zote kuyafanya hayo,unajua ni kiasi gani cha mapato kitaongezeka kupitia maboresho ya mifumo hiyo ya TEHAMA kuboreshwa au unafuata ushabiki tu wa kupinga pinga...fuatilia kiwango cha mapato kitakachoongezeka baada ya maboresho ya mifumo hiyo
Kwa hiyo TICTS wametuibia kwa miaka 20, na bado mmewaacha watambe! Mkuu, unatafakari kwa makini ujumbe unaouweka hapa ama unadhani unanikomoa?Jiulize kwanini TICTS kwa miaka zaidi ya 20 ya uwepo wao Bandarini wamewekeza Dola million 100 tu,
Madam Spika anasema Bunge harijaridhia Nia ya uamuzi wa serikali, Mkuu Sasa hivi unaueleza umma wa Watanzania kuwa DP world tayari wamewekeza 500mil USD. Sasa mkweli ni nani? Na hizo hela wameziwekeza kwa misingi ipi wakati kwa Mujibu wa Spika watanzania kupitia wawakilisbi wao hawajaridhia? Ebu tueleze vizuri jambo hili, maana tunahitaji watanzania wafaidike na nchi yako kwa kuiunga Mkono serikali Katika maamuzi inavyofanya kwa niaba Yao.wakati DP World kabla haijaanza kazi rasmi wameshawekeza katika kuweka mifumo ya TEHAMA sawa kwa Dola million 500. DP World inatisha.
Yeye mwenyewe ndo Samia huyo!Kachanganyikiwa huyo... imagine na uajuza wake naye anamwita Samia mama!! Imbecile!
Umepewa bei gani wewe Bibi? Hukawii kukimbia jukwaaMsukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hawezi kujibu zaidi ya porojoKwa hiyo TICTS wametuibia kwa miaka 20, na bado mmewaacha watambe! Mkuu, unatafakari kwa makini ujumbe unaouweka hapa ama unadhani unanikomoa?
Maswali ninayokuuliza ni kwa ajili ya Nia njema ili watanzania waelewe umuhimu wa Uamuzi unaofanywa na viongozi wao. Sasa ukijibu kama unanikomoa ama kukebehi, ujue unaharibu zaidi!!!
Madam Spika anasema Bunge harijaridhia Nia ya uamuzi wa serikali, Mkuu Sasa hivi unaueleza umma wa Watanzania kuwa DP world tayari wamewekeza 500mil USD. Sasa mkweli ni nani? Na hizo hela wameziwekeza kwa misingi ipi wakati kwa Mujibu wa Spika watanzania kupitia wawakilisbi wao hawajaridhia? Ebu tueleze vizuri jambo hili, maana tunahitaji watanzania wafaidike na nchi yako kwa kuiunga Mkono serikali Katika maamuzi inavyofanya kwa niaba Yao.
Upo sahihi. Kuna mtaalamu mmoja wa IT anasema kandarasi ya kutengeneza interactive website waliikosa huko Nje ya nchi kisa wametenda chini sana kulikowe zao wa kampuni za huko kiasi client akadhani labda Wana uwezo fake.Vijana wetu wame table propasals kibao za maana za mifumo ya TEHAMA serikalini, tena zenye gharama ndogo na usalama wa kutosha ukilinganisha na za nnje,lakini zinapigwa chini bila sababu yoyote ya msingi, kisha wanapewa makampuni ya nnje kufunga mifumo hiyo kwa gharama maradufu.
Kwa sababu pia tumeshindwa kuendesha nchi na serikali kutokana na WIZI na UFISADI, unaonaje basi tujisalimishe kwa MABEBERU tuwakabidhi IKULU YETU watuongoze?Jiulize kwanini hatukuweza Kufanya miaka yote?
Tunaweza sana kuyafanya yote hayo, lakini wizi na ubadhirifu unatufanya tusifanye.
Kwa nini tunaongozwa na mlowezi kutoka Omán 🇴🇲?Afterall huyo unaempambania yakiharibika hana cha kupoteza atakimbilia kwao Oman
"ule mkataba" unaoungolea ndiyo upi?Hapa kinachogomba sio miaka ya uwekezaji wala kiasi kilichowekezwa, kinachogomba ni vipengele vya kinyonyaji vilivyopo kwenye ule mkataba, huwezi kututoa sadaka na bandari zetu zote wabara za bahari na maziwa, kwa wajomba tena kwa muda usio na kikomo tukae kimya tu, sisi sio wajinga.
Article 23 ya ule mkataba inazungumzia duration, niambie wameweka miaka mingapi pale mpaka mwisho wa mkataba?
Tuwekee hiz kesi. Usuobgelee mate na wino upo.Hao maharamia wakiarabu wana kesi kila taifa walipowekeza, kwani huko kote kwenye hayo makesi waliyofunguliwa hakuna mabinti wakuelezea teknolojia ya kushusha mizigo? Jiheshimu.
Samia ni shetani msaliti.
Tayari wenzake wapo Dar wanaweka mifumo ya TEHAMA.Huyo Binti apelekwe huko Zanzibar akacheze hizo game. Sa100 hawezi uongozi kabisa