KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
-
- #201
Wewe wasemaSidhani kama DP World ama mawakala wao wa hapa nchini watakuwa na ubavu wa kuweka miguu yao kwenye bandari ya Dar!. Siamini kama hawajitaki!! Mungu wetu ni mkuu sana! Kama hawajitaki ngoja tuone!!
SawaUnapima upepo.
Kati ya serikali na dini kipi kina nguvu zaidi?TEC walishamaliza labda kama hawajipendi!
Tatizo sio uraia wa mtu tatizo ni aina ya vifungu vya mkataba ambavyo havina afya kwa Taifa!!
No oneWho cares?
Wait and seeTell us with facts please!
Ndio muamkeWakiwapa wale wahuni Bandari watatuamsha hata tulio lala ngoja tusubiri...
Naamini unavyo vyanzo vyako serikalini, waulize wakupe ukweli kuliko kuona ufahari kutukana humu JF wakati unaweza ukapewa taarifa sahihi.Kama kukufahamisha kuwa IGA ilishakufa wewe unaona ni ujinga, basi elewa wazi kuwa wewe ni mpumbavu.
Ingekuwa inatafuta kutuuza utumwani TPA wasingekuwa na jeuri ya kutangaza tender za magati namba nane mpaka kumi na moja.Ufisadi wa hapo bandarini unajulikana, na wote unatokana na hao hao wanaotafuta kutuingiza kwenye mikataba ya hovyo kama hiyo IGA.
Ila IGA imekwenda mbali sana, inatafuta hata kutuuza utumwani. Huu siyo ufisadi wa kawaida kama huo wa vifisadi wa hapo bandarini.
Kwa nini niwe na "vyanzo serikalini", kwani siwezi kuwa serikalini mwenyewe?Naamini unavyo vyanzo vyako serikalini, waulize wakupe ukweli kuliko kuona ufahari kutukana humu JF wakati unaweza ukapewa taarifa sahihi.
IGA iliyopitishwa bungeni ndio imezaa project contracts zinazokwenda kutumika kibiashara katika mkataba wa Tanzania na Dubai unaoanza kazi Novemba mwaka huu hapo bandarini.
Kwani kutangaza tenda kumeanzishwa na IGA. TICTS walipokuwa hapo hawakuingia kwa tenda?Ingekuwa inatafuta kutuuza utumwani TPA wasingekuwa na jeuri ya kutangaza tender za magati namba nane mpaka kumi na moja.
Tuombe uhai kwa Mungu, DP World anaanza kazi hapo bandarini Novemba mosi, roho mbaya yako haikusaidii chochote.Kwa nini niwe na "vyanzo serikalini", kwani siwezi kuwa serikalini mwenyewe?
Hata hivyo, haihitaji kuwa serikalini kujua mipango inayoendelea katika nchi hii.
Wewe hapa umekwishajulikana upo humu kwa kazi ya upotoshaji tu, tokea mwanzo. Baada ya IGA kubuma, sasa upotoshaji unahamia kwenye kuhusisha miradi yote inayofanyika na ujinga huo uliokataliwa na waTanzania.
Nirudie tena, hakuna uhusiano wowote kati ya IGA na miradi ya bandari inayoendelea sasa hivi. Acha upotoshaji huo.
Hujui lolote bora ukae kimya tu kama kiburi chako kinakunyima uwezo wa kupata taarifa sahihi kutoka kwa watu mbalimbali.Kwani kutangaza tenda kumeanzishwa na IGA. TICTS walipokuwa hapo hawakuingia kwa tenda?
Nirudie tena mara ya kumi, kukufahamisha kwamba, hakuna uhusiano wowote kati ya maswala ya Dubai na IGA yake na kazi zinazofanyika bandarini na kwingineko nchini. Hii ni mipango iliyokuwepo serikalini, na inaendelea kutekelezwa, kama huo mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Achana na upotoshaji.
Umewasikia hata mara moja TEC wakizungumziakuhusu Katiba ??!!CCM ya sasa sio kama ile ya Nyerere, hata TEC hawapendezwi nayo
Nimeipenda sana. Hata hivyo wamechelewa mimi nataka waje hata kesho. DP WORLD ni watu wema sana.