Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mjinga kweli, kuna tofauti gani kati ya serikali ya Dubai na hao DP World?.Kuonyesha ufinyu wa akili yako hapa, unasahau kwamba IGA ni kati ya Tanzania na Dubai. Uwekezaji unaotafutwa sasa hivi haulazimishi ushiriki wa DP World kuhusika katika maswala hayo.
watanzania hatuna shida na waarabu,shida ni mkataba mbovu
Sioni ajabu kwamba hukuelewa nilichoandika hapo.Wewe mjinga kweli, kuna tofauti gani kati ya serikali ya Dubai na hao DP World?.
Kuna mtu anatumia jina lako?, aisee fanya hima urudi mwenyewe!.
Pole upewe wewe fisadi kwa kukosa fursa mliyokuwa mnaitengeneza kuhujumu taifa letu.Pole sana wewe na hao watanzania wenzako wa humu JF.
Mkataba umevuja na kila mtu anao hata Faiza Foxy aliutafsiri kwa kiswahili, bado unakuja na mbwembwe na ujuaji wako wakati kila kitu kimo humu.Kwa sababu wewe hunao mkataba ili uweke kifungu hicho hapa?
Kiweke kifungu, watu wakisome.
Au hata kunakiri tu maneno ya lugha hiyo kwako ni shida, kama ulivyowahi kujionyesha mwenyewe humu katika maswala ya aina hiyo?
Hujui usemalo na kama kawaida yako matusi unaona kama vile ndio ujanja.Sioni ajabu kwamba hukuelewa nilichoandika hapo.
Ngoja nikufafanulie uelewe.
Uwekezaji unaofanyika sasa hivi hauhusiani na IGA ya Dubai.
Uwekezaji huu ungefanyika na ulikuwa unafanyika hata kabla ya ujinga wenu mliobuni wa kuingiza hiyo Dubai.
Bandari ya Bagamoyo tulishaamua kuijenga hata kabla ya hiyo IGA, leo hii watu wajinga kama wewe unakuja hapa kupotosha kuwa ni moja ya miradi inayofanyika kwa sababu ya uwepo wa Dubai. Huu ndio upuuzi ninaotaka kukuonyesha kuwa watu wanaelewa ujinga wenu.
Fursa inakuja mwezi Novemba mwaka huu, wewe endelea kuishi na maumivu ya moyo.Pole upewe wewe fisadi kwa kukosa fursa mliyokuwa mnaitengeneza kuhujumu taifa letu.
Wapongezwe sana wazalendo wote waliosimama na kukataa utapeli huu.
Kipo kifungu cha kuiendeleza sekta nzima ya shipping kwa ujumla. Kipo kifungu kinachoongelea kukuza uwezo wa vyuo vyetu mfano DMI.Yale yale ya "Kifungu", na tulishamaliza hilo kwa wewe kushindwa hata kukiweka hapa kifungu hicho. Leo hii unarudi kulekule, kuonysha upumbavu ulionao.
Lakini unavisikia tu wewe, hujawahi kuviona, na wala huna uwezo wa kuvielewa?Kipo kifungu cha kuiendeleza sekta nzima ya shipping kwa ujumla. Kipo kifungu kinachoongelea kukuza uwezo wa vyuo vyetu mfano DMI.
Huko kwenye project contracts ndio kuna mengi yenye faida kwa biashara zetu za pale bandarini.
Pole sana maumivu yatakusumbua sana. IGA inaanza kazi bandarini Novemba mwaka huu.Lakini unavisikia tu wewe, hujawahi kuviona, na wala huna uwezo wa kuvielewa?
Sikiliza, hili ni kupoteza muda tu juu ya jambo ambalo halipo tena.
Tafuta sehemu nyingine ya kufanyia ufisadi kabla serikali hii mliyoiteka haijondolewa madarakani.
Habari ya IGA achana nayo sasa.
Hakuna anayekuzuia kujidanganya mwenyewe.DP World anaanza kazi Novemba hapo TPA kwa IGA ile ile iliyopitishwa bungeni katikati ya mwaka huu, walikuwa waanza October lakini wataanza Novemba.
Haya sasa, tueleze wewe mjuaji kuhusu unachojua kuhusu Bagamoyo wasichokijua watu wengine. Tabia yako ni ya kusema mambo juu juu tu huelezi chochote!Leo unakuja kusema kuwa hata Bagamoyo mlikuwa mnajua kutafanyika uwekezaji, ikiwa jambo hulielewi usitanue mabega kujifanya mjuaji, kubali ueleweshwe
Wanajipenda na wanaipenda nchi kwa ujumla. Mwendeshaji anaanza kazi hapo bandarini Novemba Mosi iweke vizuri hiyo tarehe kwenye kalenda yako.TEC walishamaliza labda kama hawajipendi!
Unanipa pole nyingi nyingi huku ikionyesha dhahiri maumivu makubwa uliyo nayo wewe kwa kunyang'anywa mfupa mdomoni?Pole sana maumivu yatakusumbua sana. IGA inaanza kazi bandarini Novemba mwaka huu.
Wenye uwezo wa kuelewa ni kina Kalamu walioamua kuisaliti nchi yao mchana kweupe jambo hili lipo kwa faida ya Tanzania.
Mmeleta siasa nyingi za kuudanganya umma kwenye suala la kiuchumi, hizi fitina zitakutesa sana wewe mrembo.
Kosa lililofanyika la mkataba kuvuja na ukageuka kujadiliwa mpaka na wauza maembe njiani halitafanyika tena kwenye mikataba hii ambayo zabuni zake zinatangazwa muda huu.Hakuna anayekuzuia kujidanganya mwenyewe.
Dubai akipewa kazi hapo bandari, hiyo ni nje kabisa ya IGA.
Hakuna aliyesema popote kuwa DP World hawezi kupewa kazi popote Tanzania nje ya uhujumu wenu wa IGA
Haya sasa, tueleze wewe mjuaji kuhusu unachojua kuhusu Bagamoyo wasichokijua watu wengine. Tabia yako ni ya kusema mambo juu juu tu huelezi chochote!
Kwa hiyo unataka kueleza hapa kuwa Bagamoyo inafanyika chini ya IGA ya DP World. Mbona utakuwa ni mjinga wa hali ya juu sana.
hata ikiwa hivyo ni nje ya makubaliano ya IGA, usiwe mpumbavu.Wanajipenda na wanaipenda nchi kwa ujumla. Mwendeshaji anaanza kazi hapo bandarini Novemba Mosi iweke vizuri hiyo tarehe kwenye kalenda yako.
Mfupa bado upo, utaanza kutafunwa baadae mwaka huu.Unanipa pole nyingi nyingi huku ikionyesha dhahiri maumivu makubwa uliyo nayo wewe kwa kunyang'anywa mfupa mdomoni?
Mpumbavu wewe usiyejua mipaka ya IGA ipo vipi, hizi project contracts zilizoandaliwa zimezaliwa baada ya IGA kupitishwa bungeni. Tatizo ni lile lile la kujifanya unajua sana mpaka unatumia na matusi kwenye sentensi zako.hata ikiwa hivyo ni nje ya makubaliano ya IGA, usiwe mpumbavu.