Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
IGA imeandikwa kitaalam sana kama ukiwa unaisoma kwa kuchagua kifungu kipi ukijadili na kipi ukiache hautakuja uelewe mkataba ule kwa kina unaongelea kitu gani.Hata kama ni hao hao; hawaji chini ya masharti ya IGA.
Wewe huoni tofauti yake?
Mkataba unachambuliwa kwa ukamilifu wake sio kwa kuchagua mahali tunapodhani panatupendelea na kuacha vifungu tusivyovipenda.