Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Haifufuki ng'ooo...Tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haifufuki ng'ooo...Tanganyika
Kasome "10 D's against political opponents"....Ujanja Wa Ccm Una Mwisho
Uongo mweupe huo...DPW ni kifo cha CCM. Amini amini nakwambia
Jidanganye....Ndoto za mchana
[emoji15][emoji15][emoji106]Mbona tayari wapo, labda hiyo tarehe ni ya makabidhiano rasmi tu.
Wamechemka vibaya sana, DP World wanakuja hapo bandarini. Kukataa uendeshaji ni kujaribu kuikwaza serikali pia ni kuitisha serikali kwamba ikienda kinyume na matakwa ya kanisa basi wao viongozi wa kiroho hawahusiki!!.Wamemkataa shetani na mawakala zake wote.
Udini utaupasua "mkndrrrrr" wako....[emoji1787][emoji1787]Ahadi ya tende pamoja na kujengewa misikiti imetafuna faham zako
[emoji7][emoji7]Habari njema sana hii. DP World inahitajika sasa kuliko wakati wowote ule
[emoji109][emoji2956]Kura yako na ndugu zako hazitabadili chochote mkuu.
Dp world wapo pale pale wala kelele za mafisadi haziwezi kusikilizwa kamwe.
Ukatoliki wako una kazi gani juu ya mambo mtambuka ya taifa?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]Mimi kama mtanzania;
Mimi kama mtanganyika;
Mimi kama mkatoliki;
Mimi kama mtu mwenye utimamu wa akili;
Naisubiri ccm uchaguzi mkuu wa 2025; kama kweli dp world watatia mguu Tanzania kwa mkataba ule.
[emoji1787][emoji1787][emoji109][emoji2956][emoji106]Wamechemka vibaya sana, DP World wanakuja hapo bandarini. Kukataa uendeshaji ni kujaribu kuikwaza serikali pia ni kuitisha serikali kwamba ikienda kinyume na matakwa ya kanisa basi wao viongozi wa kiroho hawahusiki!!.
Hapo hapo inaibuka hoja ya kuutazama huo usafi wa kimaadili wa baadhi ya maaskofu wanaoitisha serikali.
Iliandikwa mwezi uliopita katika nchi moja ya Ulaya, kila kitu kipo tayari.Hga haijasainiwa Bado acha kutubabaisha
Ujuha ndio huu.Unamaanisha hawana akili kama viongozi wa Uingereza siyo? SAu huelewi kuwa kuna banadari mbili za Uingereza wanaendesha DP World?
Tena kubwa sana mara 100 ya kipande kidogo wanachoendesha kwetu.
Ni kweli kuna ma supervisor wahabeshi tupo nao huku duh! kwisha habari yetu pole pole tutajua wapi pakusimama, maana Suma JKT tayari wamepigwa chini.
Utajifanya uonekane mjinga, kumbe ni mjinga kwelikweli.Suala la DP World limewaumbua wasomi wengi wenye kuheshimika ndani ya nchi. Wengine ni maprofesa wakubwa na wamejikuta wakiwaingiza chaka watu kwa kuwadanganya kwamba IGA inawapa uhuru waarabu wa kumiliki kila kinachofanyika bandarini hapa Tanzania. Kichekesho cha mwaka 2023.
Leo hii zabuni zinaendelea kutangazwa na ni kuhusu uendeshaji wa bandari ile ile ambayo DPW anakwenda kuiendesha!.
Usidhani watu ni wajinga kutoelewa upotoshaji.IGA ndio hii hii ya DP World ndio hii hii iliyopita bungeni, ndio maana nimesema hili suala limetutoa jasho mpaka kwenye meno!.
Hata kama ni hao hao; hawaji chini ya masharti ya IGA.Ndio haohao wa IGA
Unaweza kuta niyule mtoa namba ya simu analeta habari hizi😂
Hakuna ujinga ndio ukweli wenyewe kwamba ilipitishwa IGA bungeni baadae zimeandaliwa hizo HGAs na sasa shughuli inaanza.Usidhani watu ni wajinga kutoelewa upotoshaji.
IGA ilishakufa, na kamwe haitatokea tena uwepo wa ujinga kama huo Tanzania.
Sasa subiri tu matokeo ya ujinga wenu yatakavyo watokea puani.