Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh chawa wa mamaHabari njema sana hii.
Suala la DP World limewaumbua wasomi wengi wenye kuheshimika ndani ya nchi. Wengine ni maprofesa wakubwa na wamejikuta wakiwaingiza chaka watu kwa kuwadanganya kwamba IGA inawapa uhuru waarabu wa kumiliki kila kinachofanyika bandarini hapa Tanzania. Kichekesho cha mwaka 2023.Hilo "Genge" lenu unaloliita la wasomi ni hasara kubwa sana kwa nchi yetu kuwa na watu wa aina ile. Ni aibu kubwa.
Kajitambulisha Hamza pekee yake wengine wote mnajificha kwenye majina ya bandia kama wewe. Ufisadi mliotaka kulifanyia taifa hili na kulidhalilisha aibu yake itawaandama maisha yenu yote.
Kwa kweli inabidi nikushangae wewe, kama nawe unajihesabu kuwa wasomi wa kutegemewa na nchi hii. Ndiyo maana tunaonekana kama vichekesho mbele za mataifa mengine siku hizi, kwa sabau ya "wasomi" wa aina yako na genge lote.
IGA ndio hii hii ya DP World ndio hii hii iliyopita bungeni, ndio maana nimesema hili suala limetutoa jasho mpaka kwenye meno!.Hiyo elimu yako siitaki na wala huna uwezo wa kufanya hivyo.
La muhimu fahamu tu kuwa ule ujinga wenu na hao waarabu wenu ulikufa kifo cha mende.
Sasa dandieni tu kwenye hii miradi ya kawaida, ili mfiche aibu zenu, mafidadi wakubwa nyinyi.
IGA ilishakufa, isahau moja kwa moja. Usilete upotoshaji hapa.
Itakuwa kama stori ya Egypt na Mameluks eti?😁Siku moja hwa watu wakiamua kuchukua madaraka, waarabu watapoteana
"Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi"! Tatizo halikuwa rangi za watu, tatizo lilikuwa mkataba.
Katika ya Serikali na vikundi vya dini nani ana kiburi? Hivi vikundi vya dini vikiamua kuidobdosha Serikali unafikiri inachukua muda? Usigombane na wanaomwabudu Mungu asiyeonekana!! Historia inatuambia kuwa Mungu hashindwi .tuwasikilize na kuwaheshimu.CCM 2025 Ina wakati mgumu sana I tell you kama upinzani ukimtafuta Mtu serious lakini siyo Lissu!!Nilikuwa siungi mkono suala la DP world lakini upumbavu wa TEC umenifanya niiunge mkono Serikali.
Serikali haipaswi kubadili maamuzi yake kwa mashinikizo na vitisho kutoka kwenye vikundi vya dini.
Baadae itakuwa 1-7-2024Chai hiyo😃
Ilikuwa Oct, now Nov, ikifika Nov itakuwa January!!
Ulianza vizuri lakini umeharibu hapa, maza akikosea akaruhusu tume huru ya uchaguzi amekwishaKatika ya Serikali na vikundi vya dini nani ana kiburi? Hivi vikundi vya dini vikiamua kuidobdosha Serikali unafikiri inachukua muda? Usigombane na wanaomwabudu Mungu asiyeonekana!! Historia inatuambia kuwa Mungu hashindwi .tuwasikilize na kuwaheshimu.CCM 2025 Ina wakati mgumu sana I tell you kama upinzani ukimtafuta Mtu serious lakini siyo Lissu!!
Upinzani ujitahidi kuwejeza kwenye ubunge.kwenye uraisi wapaache kwanza!!
Tuambie kwanini unaona lisu afai kugombea nafasi ya uraisKatika ya Serikali na vikundi vya dini nani ana kiburi? Hivi vikundi vya dini vikiamua kuidobdosha Serikali unafikiri inachukua muda? Usigombane na wanaomwabudu Mungu asiyeonekana!! Historia inatuambia kuwa Mungu hashindwi .tuwasikilize na kuwaheshimu.CCM 2025 Ina wakati mgumu sana I tell you kama upinzani ukimtafuta Mtu serious lakini siyo Lissu!!
Upinzani ujitahidi kuwejeza kwenye ubunge.kwenye uraisi wapaache kwanza!!
Hujatueleza kama hao DP World wanaokuja ndio wale wale wa IGA; pamoja na kwamba umejitahidi kutufafanulia ni akina nani wahusika na DP World unayoizungumzia wewe.
Huyo DP World wa rangi yoyote ile, bila ya IGA anayoambatana nayo, huyo tunaweza kukabiliana naye baada ya kuwashughulikia hawa watwana wao waliotaka kutuuza huko utumwani.