DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November.

Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
CCM ni sikio la kufa na ni ukoo wa panya. Panya ni ukoo wa wezi tangu babu hadi kilembwe. Mungu anawaona wahahizaya wakubwa!
 
Hujatueleza kama hao DP World wanaokuja ndio wale wale wa IGA; pamoja na kwamba umejitahidi kutufafanulia ni akina nani wahusika na DP World unayoizungumzia wewe.

Huyo DP World wa rangi yoyote ile, bila ya IGA anayoambatana nayo, huyo tunaweza kukabiliana naye baada ya kuwashughulikia hawa watwana wao waliotaka kutuuza huko utumwani.
IGA hiyo hiyo inaanza kazi Novemba mosi, jiandae kisaikolojia. IGA hiyo hiyo haina matatizo yoyote ndio maana tenda zinatangazwa na TPA za kuendesha magati namba nane mpaka kumi na moja hapo hapo bandarini Dar.

Ndio maana tenda ya kuendesha bandari ya Mbegani inatangazwa pia.

Kutakuwa na tenda ya kuendesha bandari ya Tanga itatangazwa muda wowote kuelekea mwishoni mwa mwaka huu.
 
Nilikuwa siungi mkono suala la DP world lakini upumbavu wa TEC umenifanya niiunge mkono Serikali.

Serikali haipaswi kubadili maamuzi yake kwa mashinikizo na vitisho kutoka kwenye vikundi vya dini.
We tunakujua ni chawa wao toka kitambo
 
Unamaanisha hawana akili kama viongozi wa Uingereza siyo? SAu huelewi kuwa kuna banadari mbili za Uingereza wanaendesha DP World?

Tena kubwa sana mara 100 ya kipande kidogo wanachoendesha kwetu.
India pia wanaendesha bandari kubwa tu tena mwaka huu katikati walikabidhiwa.

Nchi ambayo madaktari wake wanatutibu kisukari na presha miaka na miaka inawakubali DP World sisi tunawakataa kwa kuendekeza mawazo ya kimaskini na roho mbaya.
 
Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November.

Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
Mungu ibariki tanzania uwekezaji huu uanze rasmi hadi wale matapeli pingapinga waaibikee
 
Back
Top Bottom