Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ya sasa sio kama ile ya Nyerere, hata TEC hawapendezwi nayo
Nguvu ya kanisa katoliki imeshindwa?Nguvu ya umma itumike kukidosha Chama Chakavu na serikali yake
Labda umma wa kulia ugaliNguvu ya kanisa katoliki imeshindwa?
Umma tunaitaka DP World.
Mbona tayari wapo, labda hiyo tarehe ni ya makabidhiano rasmi tu.
Wewe umeukaribia ukweli wenyewe hasa.Na warabu wenyewe wakiwa wanasimamia bandari yao kwa njia ya Bluetooth, au vipi? 😆
Ahadi ya tende pamoja na kujengewa misikiti imetafuna faham zakoNguvu ya kanisa katoliki imeshindwa?
Umma tunaitaka DP World.
Kura yako na ndugu zako hazitabadili chochote mkuu.Mimi kama mtanzania;
Mimi kama mtanganyika;
Mimi kama mkatoliki;
Mimi kama mtu mwenye utimamu wa akili;
Naisubiri ccm uchaguzi mkuu wa 2025; kama kweli dp world watatia mguu Tanzania kwa mkataba ule.
Unamaanisha hawana akili kama viongozi wa Uingereza siyo? SAu huelewi kuwa kuna banadari mbili za Uingereza wanaendesha DP World?Wewe umeukaribia ukweli wenyewe hasa.
Vi-nchi vyenyewe hivyo vya kiarabu, raia toka nje, India, Bangladesh, Pakistan, Phillipine ndio wanaoendesha kila kitu kwenye vi-nchi hivi.
Siku moja hwa watu wakiamua kuchukua madaraka, waarabu watapoteana.
Ndiyo maana wanajitahidi sana sasa kutumia pesa kujitanua kwenye nchi zisizokuwa na viongozi wenye akili kichwani kama hizi zetu.
TEC wametia aibu kubwa japo haiongelewi sana mitaani. Unamkataa mmoja wa waendeshaji wakati hujui serikali ina mpango upi na bandari nyingine zilizopo.Nilikuwa siungi mkono suala la DP world lakini upumbavu wa TEC umenifanya niiunge mkono Serikali.
Serikali haipaswi kubadili maamuzi yake kwa mashinikizo na vitisho kutoka kwenye vikundi vya dini.
Ita vyovyote upendavyoChai hiyo😃
!!
Watatia mguu Novemba mosi hapo TPA, jiongeze ili uweze kujua mengi kuhusu masuala ya bandari kuliko kushikiwa akili na viongozi wetu wakatoliki.Mimi kama mtanzania;
Mimi kama mtanganyika;
Mimi kama mkatoliki;
Mimi kama mtu mwenye utimamu wa akili;
Naisubiri ccm uchaguzi mkuu wa 2025; kama kweli dp world watatia mguu Tanzania kwa mkataba ule.