Waarabu watuletee maendeleo ndio mnavyofikiri kweli? Jamii zote alizoshukia mwarabu Tanzania zipo nyuma kimaendeleo na sasa anarudi kunyonya tena kama zamani.Unamtazama kwa uoga tu, unaona mama Samia na kubwabwaja na kuhororoja kwenu kote hana habari. yeye anaupiga mwingi tu, kitaifa na kimataifa.
Naona wewe na anayejiita FRANCIS DA DON mmekuja na wimbo mmoja lakini chorus tofauti. Ni mawakala wa shetani yupi nyinyi?
Maana mkataba huu hapa mbele ya uso wenu hamuoneshi una tatizo lipi? Tatizo lenu mkataba au Waarabu wanaokuja kutuletea maendeleo tuliyoshindwa kujiletea zaidi ya miaka 60 ya uhuru sasa?
Naona unaongea kwa hisia bila uhalisia. Kuw nyuma au mbele ni neno linaloweza kutafsirika hsi au chanya inategemeaa na ulivyoliandika au litamka. Hutegemea na jinsi ulivyojazwa ujinga (brain washed).Waarabu watuletee maendeleo ndio mnavyofikiri kweli? Jamii zote alizoshukia mwarabu Tanzania zipo nyuma kimaendeleo na sasa anarudi kunyonya tena kama zamani.
1) DPW sijaona kwenye mkataba sehemu yoyote inayosema "wanapewa bandari", mkataba huo hapo post #1 , tafadhali tuoneshe labda wengine pametupita.1:Tuambie hao Dpw wanapewa Bandari kwa muda wa miaka mingapi
2:Tuambie sababu za kuhitaji na bandari nyingine zote za kwenye maziwa yetu ambazo zipo mbali kuliko za Zanzibar na za Zanzibar hazipo kwenye huo mkataba.
3:Tuambie kwa kina maslahi ya nchi yatakuwa ni yapi hasa iwapo hiyo kampuni italegalega kama TICTS
Nshomile wa MulebaNaona umeweka picha picha bila na maandikao uliyoykatakata "out of context, sijaelewa unakusudia nini kwa mabandiko hayo. Ruanzie hapo.
Mkataba huu hapa post #1, tuoneshe hicho kifungu kilichouza mkataba.Rais samia bado anayo nafasi ya kurudisha heshima yake ilyopetea ghafla. Hii kashfa ni mbaya kuwahi kutokea katika historia ya dunia hata kina chifu Mangungo hawakufanya hivi.
Hivyo tunamuomba Mama Samia ahutubie Taifa na kutangaza kuachana na huu mkataba wa kuiangamiza Tanganyika.
Inawezekana kwa sasa waliokuzunguka wanafanya kila aina ya robber kuhalalisha huu uhaini. Wanafanya hivyo kwasababu wanalamba asali lakini hawafanyi kwa uhalisia wao.
Rais Samia itisha hutuba ya Taifa ya kuvunja mikataba ya kilaghai nchi yetu kuuzwa kwa waarabu.
Ni bora bandari zibaki tupu kuliko hii aibu ya karne.
Wako Rais wetu kipenzi naamini tutasilizwa.
mkataba ni haki yetu kuujuwa kama wananchi na ni haki yetu kukemea mikataba ovu yakifirauni yani ukomo wake haueleweki alafu bado tujione tupo salama apo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makubaliano yapi ? Mimi napinga mkataba Hauna uhalali kati ya Tanganyika na Dubai ports world tunataka waliomshauri raisi wajitokeze tuwahoji mambo mengi ambayo wewe huna majibu
Huu mkataba upo katika lugha ya kisheria. Kwa mtu asiesoma sheria ni vigumu kuutafsiri. Hilo natumai unalijua, hivyo tusilumbane kwa kuingiza siasa. Zipo hoja za wanasheria walioukosoa. Zifuatiliwe hoja hizo kama upotoshaji au kweliKifungu kipi kimeondoa bandari za Zanzibar? Usiseme uongo. Mkataba huo hapo post #1. Tuoneshe.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Unafikiri uliandikwa na nani huo kama siyo wanasheria? Hakuna cha lugha za sheria walaa nini, mtu yeyote aliyeenbda shule anauelewa kabisa. Kama ni wanasheria hata Rais anatumia wanasheria.Huu mkataba upo katika lugha ya kisheria. Kwa mtu asiesoma sheria ni vigumu kuutafsiri. Hilo natumai unalijua, hivyo tusilumbane kwa kuingiza siasa. Zipo hoja za wanasheria walioukosoa. Zifuatiliwe hoja hizo kama upotoshaji au kweli
We ajuza umelaaniwaUnangoja nini?
Taaluma ya SHERIA ulisomea wapi bi Faiza?Mkataba upo hapo post #1, sema kifungu kipi kinakupa shida?
Unaamini una CAPACITY ya kuargue na Tundu Antipas Lissu au Professor Shivji kwenye mkataba huu Kwa Elimu Yako ya kuokoteza vifungu?Mtandaoni. Elimu kiganjani siku hizi.
Unaamini una CAPACITY ya kuargue na Tundu Antipas Lissu au Professor Shivji kwenye mkataba huu Kwa Elimu Yako ya kuokoteza vifungu?
Ama Kweli,Hakuna kati yao hata mmoja aliyeupinga mkataba Nioneshe kauli yao ya kuupinga mkataba.
Sasa unataka nibishane na mtu ambae hajapinga mkataba wala uhusiano na Dubai?