Kwani hii IGA inakwenda sambamba na matakwa ya nani?Hiyo ni IGA, lakini HGA inatupa madaraka ya kuingia mikataba mingine ya kibiashara itakayokuwa na masharti yenye kwenda sambamba na matakwa yetu.
Hili jukwaa lina mkataba tena una tafsiri ya Kiswahili, una lolote la kusema kuhusu huo mkataba?Ama Kweli,
RUSHWA hupofusha ufahamu.
Mbona miaka mingi sana hiyo? Kifungu cha 5:4 naona huu mkataba ni wa miezi 12 tu au kama utafutwa kabla, chochote kitakachoafikiwa kabla baina ya pande mbili, Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai..Kwani hii IGA inakwenda sambamba na matakwa ya nani?
Hivyo unakubali makubaliano hayako sambamba na matakwa ya Tanganyika sio?
Huu mkataba umekaa tenge /
Hautufai urejewe upya kwa maslahi ya vizazi vijavyo.
Waweke 5 yrs renewable kama walivyofanya waungwana wa Zanzibar
"taasisi tanzu" unafahamu maana yake?Kifungu Namba 4(5)
"DPW na taasisi tanzu zitawajibika kutafuta ufadhili kwa Makampuni ya Miradi husika kwa ajili ya kuendeleza Shughuli za Miradi."
Kwanini DPW watafute ufadhili badala ya serikali ya Tanzania ambayo ni muhusika mkubwa. Je nini kifamyike kama ufadhili wa makampuni husika utakuwa na athari hasi kwa Tanzania. Taratibu zipi zitatimika kupata ufadhili
Kifungu kipi unaongelea?FaizaFoxy hata huu wa kiswahili bado huoni kasoro?
Huoni kwamba haki zote amepewa DP wakati majukumu yote Ni ya watanzania.
Huoni kwamba Mbarawa alikua na makusudi ya kuikomoa Tanganyika.
Tofauti na wazanzibari wengi Mbarawa Ni msomi na anauelewa Ila katika hili alikua na Nia ovu ya makusudi thidi ya Tanganyika.
Fake News kabisa hiiHakuna mkataba mbovu umewahi kutokea kama huu duniani
Samia akishirikiana na waziri na katibu mkuu wameiuza Tanganyika kwa waarabu
Watanganyika amkeni muitete nchi yenu wajukuu na vitukuu vyenu vitazaliwa km watumwa chini ya nchi ya waarabu ambao wameuziwa nchi
Mkumbuke viongozi waliofanya haya wananufaika na uuzwaji huu wa nchi
Dawa ya wasaliti inajulikana duniani kote.Hili jukwaa lina mkataba tena una tafsiri ya Kiswahili, una lolote la kusema kuhusu huo mkataba?
Kuhusu rushwa, bofya hapa chini:
Habari na Hoja mchanganyiko
Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishanewww.jamiiforums.com
What is Tanganyika? Tumeshatoka huko tangu 1964 acheni kuchanganyikiwa.Kwani hii IGA inakwenda sambamba na matakwa ya nani?
Hivyo unakubali makubaliano hayako sambamba na matakwa ya Tanganyika sio?
Huu mkataba umekaa tenge /
Hautufai urejewe upya kwa maslahi ya vizazi vijavyo.
Waweke 5 yrs renewable kama walivyofanya waungwana wa Zanzibar
Honestly hata huyu mama auze nchi nzima wote tuondoke, hakuna namna yoyote nitamuona dhalimu alikuwa mtu wa maana.
Mbona umeita DPW tu, hizo "taasisi tanzu" mbona huzitaji? Au hujaupitia vizuri mkataba? Soma kifungu hiki kwenye ukurasa wa Utangulizi:Kifungu Namba 4(5)
"DPW na taasisi tanzu zitawajibika kutafuta ufadhili kwa Makampuni ya Miradi husika kwa ajili ya kuendeleza Shughuli za Miradi."
Kwanini DPW watafute ufadhili badala ya serikali ya Tanzania ambayo ni muhusika mkubwa. Je nini kifamyike kama ufadhili wa makampuni husika utakuwa na athari hasi kwa Tanzania. Taratibu zipi zitatimika kupata ufadhili
Hebu tulia we msikiti. Unajua hata huyo niliyemquote ni juu ya nini?Huu uzi kwenye post#1 kuna makubaliano baina ya Tanzania na Dubai, tuoneshe kifungu kilichouza bandari.
Au ndiyo mapambio yenu siku hizi kusema uongo?
Tena hapo ulipo utaisikia adhana sasa hii.Hebu tulia we msikiti. Unajua hata huyo niliyemquote ni juu ya nini?
Sultan Ahmed Bin Sulayem, Group Chairman and CEO of DP WorldThe new port will create jobs, attract new foreign direct investment to the country, and enable new trading opportunities that bring about economic diversification.
Hiyo watajua wenyewe.!
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
Hakuna kitu kama hicho. Kilichopo ni kuwa DP World anaingia kwenye kazi za bandari za Tanzania ikiwa tutaingia nae mkataba, bado hakuna mkataba.Hiyo watajua wenyewe.!
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?