DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Kifungu Namba 4(5)

"DPW na taasisi tanzu zitawajibika kutafuta ufadhili kwa Makampuni ya Miradi husika kwa ajili ya kuendeleza Shughuli za Miradi."

Kwanini DPW watafute ufadhili badala ya serikali ya Tanzania ambayo ni muhusika mkubwa. Je nini kifamyike kama ufadhili wa makampuni husika utakuwa na athari hasi kwa Tanzania. Taratibu zipi zitatimika kupata ufadhili
 
Hiyo ni IGA, lakini HGA inatupa madaraka ya kuingia mikataba mingine ya kibiashara itakayokuwa na masharti yenye kwenda sambamba na matakwa yetu.
Kwani hii IGA inakwenda sambamba na matakwa ya nani?

Hivyo unakubali makubaliano hayako sambamba na matakwa ya Tanganyika sio?

Huu mkataba umekaa tenge /
Hautufai urejewe upya kwa maslahi ya vizazi vijavyo.
Waweke 5 yrs renewable kama walivyofanya waungwana wa Zanzibar
 
Mbona miaka mingi sana hiyo? Kifungu cha 5:4 naona huu mkataba ni wa miezi 12 tu au kama utafutwa kabla, chochote kitakachoafikiwa kabla baina ya pande mbili, Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai..

Mbona wewe unaupa huu mkataba miaka mingi sana?
 
Kifungu Namba 4(5)

"DPW na taasisi tanzu zitawajibika kutafuta ufadhili kwa Makampuni ya Miradi husika kwa ajili ya kuendeleza Shughuli za Miradi."

Kwanini DPW watafute ufadhili badala ya serikali ya Tanzania ambayo ni muhusika mkubwa. Je nini kifamyike kama ufadhili wa makampuni husika utakuwa na athari hasi kwa Tanzania. Taratibu zipi zitatimika kupata ufadhili
"taasisi tanzu" unafahamu maana yake?
 
FaizaFoxy hata huu wa kiswahili bado huoni kasoro?
Huoni kwamba haki zote amepewa DP wakati majukumu yote Ni ya watanzania.
Huoni kwamba Mbarawa alikua na makusudi ya kuikomoa Tanganyika.
Tofauti na wazanzibari wengi Mbarawa Ni msomi na anauelewa Ila katika hili alikua na Nia ovu ya makusudi thidi ya Tanganyika.
 
Kifungu kipi unaongelea?

Mimi naona kila kifungu hapo kinawahusu wote wawili. Kasome tafsiri mwanzo kabisa.

Kwangu wa Kingereza ndiyo nimeuelewa vizuri zaidi, huu nimeuweka kwa ajili ya wasioelewa Kingereza.
 
Kwenye maisha nimechagua kuheshimu taaluma za watu. Anachosema daktari kuhusu ugonjwa, ntakiamini zaidi kuliko anachokisema ndugu wa mgonjwa. Vilevile wanachokisema manguli wa sheria kuhusu sheria ntakiamini zaidi kuliko wanachokisema mashabiki wa sheria na wapambe wa wanasiasa.

Hivi unategemea kati yako FaizaFoxy (shabiki wa sheria na mpambe wa Samia) na Prof. Issa Shivji (nguli wa sheria kwa zaidi ya miaka 40) ntamuamini nani kuhusu huu mkataba? Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuficha upumbavu wako.
 
Wenye vitambaa kichwani mkae kimya zanzibar yenu haijaguswa ndo maana natumia nguvu nyingi.
 
Hakuna mkataba mbovu umewahi kutokea kama huu duniani

Samia akishirikiana na waziri na katibu mkuu wameiuza Tanganyika kwa waarabu

Watanganyika amkeni muitete nchi yenu wajukuu na vitukuu vyenu vitazaliwa km watumwa chini ya nchi ya waarabu ambao wameuziwa nchi

Mkumbuke viongozi waliofanya haya wananufaika na uuzwaji huu wa nchi
Fake News kabisa hii

Unakumbuka ule wa mbowe na magari ya chadema?
 
Hili jukwaa lina mkataba tena una tafsiri ya Kiswahili, una lolote la kusema kuhusu huo mkataba?

Kuhusu rushwa, bofya hapa chini:

Dawa ya wasaliti inajulikana duniani kote.

Ni suala la muda tu.

Tusubiri.
 
Kwani hii IGA inakwenda sambamba na matakwa ya nani?

Hivyo unakubali makubaliano hayako sambamba na matakwa ya Tanganyika sio?

Huu mkataba umekaa tenge /
Hautufai urejewe upya kwa maslahi ya vizazi vijavyo.
Waweke 5 yrs renewable kama walivyofanya waungwana wa Zanzibar
What is Tanganyika? Tumeshatoka huko tangu 1964 acheni kuchanganyikiwa.
 
Dawa ya wasaliti inajulikana duniani kote.

Ni suala la muda tu.

Tusubiri.
Wasaliti sisi tunawajuwa, ni wale wale waliokuwa wanamfanyia vitimbi Kikwete sasa wamehamia kwa mama.
 
Honestly hata huyu mama auze nchi nzima wote tuondoke, hakuna namna yoyote nitamuona dhalimu alikuwa mtu wa maana.

Huu uzi kwenye post#1 kuna makubaliano baina ya Tanzania na Dubai, tuoneshe kifungu kilichouza bandari.

Au ndiyo mapambio yenu siku hizi kusema uongo?
 
Kifungu Namba 4(5)

"DPW na taasisi tanzu zitawajibika kutafuta ufadhili kwa Makampuni ya Miradi husika kwa ajili ya kuendeleza Shughuli za Miradi."

Kwanini DPW watafute ufadhili badala ya serikali ya Tanzania ambayo ni muhusika mkubwa. Je nini kifamyike kama ufadhili wa makampuni husika utakuwa na athari hasi kwa Tanzania. Taratibu zipi zitatimika kupata ufadhili
Mbona umeita DPW tu, hizo "taasisi tanzu" mbona huzitaji? Au hujaupitia vizuri mkataba? Soma kifungu hiki kwenye ukurasa wa Utangulizi:

(C) KWA KUZINGATIA matakwa yaliyotolewa katika Mkataba wa Makubaliano kuhusu maeneo ya ushirikiano kati ya TPA na DPW kwa ajili ya kuendeleza na/au kuboresha uendeshaji na usimamizi wa miundombinu ya kimkakati ya Bandari za Bahari na Maziwa Tanzania, kanda maalum za kiuchumi, hifadhi za usafirishaji na ukanda wa kibiashara wa Serikali ya Tanzania;

Hapo sasa! Jioneeni chenga inayokuja, kuliko ya Messi.
 
Huu uzi kwenye post#1 kuna makubaliano baina ya Tanzania na Dubai, tuoneshe kifungu kilichouza bandari.

Au ndiyo mapambio yenu siku hizi kusema uongo?
Hebu tulia we msikiti. Unajua hata huyo niliyemquote ni juu ya nini?
 
Hebu tulia we msikiti. Unajua hata huyo niliyemquote ni juu ya nini?
Tena hapo ulipo utaisikia adhana sasa hii.

Kumbe kinachowauma ni msikiti?

DP World kitu cha kwanza wanadondosha msikiri bandari ndani, wafanya kazi Waislam na wataotembele bandarini Waislam wasoipate shida ya kutafuta pakusalia.

Tena hiyo ni sadaka, haiwekwi kwenye mkataba:

DP World and Senegal sign agreement to develop Ndayane Port​

Dubai, United Arab Emirates,
23
December
2020

Sultan Ahmed Bin Sulayem, Group Chairman and CEO of DP World

The new port will create jobs, attract new foreign direct investment to the country, and enable new trading opportunities that bring about economic diversification.
Sultan Ahmed Bin Sulayem, Group Chairman and CEO of DP World
 
Hiyo watajua wenyewe.!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

1) Makubaliano ni agreement
2 mkataba ni Contract.

Makubaliano haya mwisho, mwisho wake ni kufata kuvyoainishwa au kwa kuandikiana na kusema sasa tunavunja makubaliano yaliyofanyika baina yetu.

Makubaliano yaliyongiwa baina ya Tanzania na FDubai yameelezee hjayo kifungu cha 20 na vifungu vyake vidogo.

Pia kifungu cha 5 kifungu kidogo cha 4 kimeainisha muda na namna ya kwisha haya makubaliano.
 
Hiyo watajua wenyewe.!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
Hakuna kitu kama hicho. Kilichopo ni kuwa DP World anaingia kwenye kazi za bandari za Tanzania ikiwa tutaingia nae mkataba, bado hakuna mkataba.

Tukishaingia nae mkataba basi lazimma alinde uwekezaji wake, siyo umlete mwengine aje kushind nae kwa kuwa yeye DP World tayari kishaweka misingi.

Nje ya hapo kabla ya kusaini mkataba mnaweka wazi kabisa kuwa bandari tutakupa wwe gati namba hii mpaka hii na namba hii mpaka hii tutaendesha wenyewe au tutampa fulani aendeshe. Mkikubaliana hapo sasa ni uamuzi wao wakubali huo mkatanba au waukatae.

Wanachotowa wao siyo msaada wala mkopo. Ni mkataba wa kibiashara, na biashara zina namna yake ya mikataba kuloinda maslahi ya wote.

Mfano umempa DP World bandari ya Dar halagfu bandari ya Kigoma kwenda Congo umempa kampuni shindani, makontena ya DP World ya kwenda Congo akiyachelewesha huyo mshindani, si kishauwa biashara yenu yote..
 
Back
Top Bottom