HAkuna nchi mbili hapo,ni kati ya nchi na kambuni.hakuna nchi inaitwa DpHiyo shida yako haihusiani na huu mkataba wa maendeleo. Kafunguwe uzi unaohusu shida yako, tutakuja kuchangia. Usituchanganyie mada.
Hapa tunaongelea nkataba baina ya Nchi mbili kama ulivyo, tena nenda kafute uongo wako wa kusema huu ni nkataba wa kampuni.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hilo li malaya mnalipa airtime humu pigeni blockHebu tulia we msikiti. Unajua hata huyo niliyemquote ni juu ya nini?
Hiv unajua Tanzania imekodisha bandari zote we kizee.
We bora babako angevaa condom tu angetusaidia sanaKijana, mkataba huo hapo Post namba moja. Tafadhali nioneshe kifungu kilichouza bandari.
Mi sisomi huo mliobadilisha kwa kiswahili ule original ndio nausoma Lakin nachowaahd hata ukipita akija rais mwingine huu mkataba atauvunja kwa any costHiyo maanna yake umeshindwa hoja sasa umeanza viroja.
Umefanya jambo jema sana, in principle mkataba hauna tatizo kabisa, na wengi hawataki kuongelea vifungu ambavyo vingi vina nia njema sana.ukiangalia hiyo kampuni inakuja kuweka mtaji mkubwa sana katika bandari hivyo kama walivyo wawekezaji wote lazima wahakikishiwe kuwa uwekezaji na mitaji yao itakuwa salama,hata sheria ya TIC imetoa hakikisho hilo dhidi ya kwamfano expropriation na international arbitration katika usuluhishi.hakuna mtu atakayerisk kuwekeza pasipo kuwa na haki zote juu ya uwekezaji husika zimezingatiwa ikiwa ni pamoja na namna ya uvunjwaji mkataba lazima iwe in a way pande zote zitawajibika kwa haki.pia katika swala la duration ya mkataba (muda wa mkataba) hilo litawekwa kwenye HGA na Projects Agreements kwakuwa wao kwa sasa ndio wanasubmit project plan,projections,financials etc hiyo ndio itadetermie muda wa mkataba. Na pia ibara ya 22 ya IGA inaruhusu marekebusho kwa baadhi ya vifungu, so kama serikali inaona kunabaadhi ya vifungu vinahitaji mabadiliko na ili kuwaweka sawa wananchi waombe upande huo wapili warekebishe. Kama kifungu cha 23(4) kinaweza kurejewa ili mambo yaendelee kwani uwekezaji huu utatupeleka mbali sana na hakuna sababu ya kuchelewa! Hawa watu wana mitaji mikubwa na siyo longolongo. Mengi yameshazungumzwa na shauri mbalimbali sasa serikali imeshasikia so ifunge mjadala huu na kurekebisha hizo kasoro ambazo ni chache sana mambo yaendelee. Tukiendelea kuchelewa washindani wetu ndio wanaendelea kupasua anga, so tunachakula kwenye silver plate tayari tukisusa wengine watakula then tuendelee kubaki na umaskini wetu. Naunga mkono uwekezaji huu kwa asilima 100Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Sisi tumeusoma na tunausoma ule ule original, huu tumewawekea wasiofahamu Kingereza.Mi sisomi huo mliobadilisha kwa kiswahili ule original ndio nausoma Lakin nachowaahd hata ukipita akija rais mwingine huu mkataba atauvunja kwa any cost
Msikiti unahusiana nini na hii mada?Hebu tulia we msikiti. Unajua hata huyo niliyemquote ni juu ya nini?
Nasema hivi, tulia we msikiti.Sisi tumeusoma na tunausoma ule ule original, huu tumewawekea wasiofahamu Kingereza.
Tena vyema sana, tuujadili mimi na wee huu mkaba kwa lugha yake.
Kuvunja mkataba mbona ni rahisi sana, Mradi ufate makubaliano tu. Pingu za maisha zinavunjwa itakuwa mikataba ya kibiashara?
Anaevunja anachotakiwa alinde maslahi ya nchi isiwe mapapara kama aliyoyafanya mwendazake kuvunja kubadili mikata kukatuumiza kila pembe. Ikifatwa makubaliano inakuwa wepesi sana na hakuna kuumia.
Unajuwa mapapara yetu mpaka leo kuna ndege mpya imeshikwa uhonzi?
Unajuwa tumetemeshwa pesa nyingi sana ndege zilivyoshikwa Canada na South Africa. Unajuwa hata jengo letu la Ubalozi Washington lilishikwa?
Wewe soma uuoendao. Tatizo hamuoneshi tatizo liko wapi? Jionee hii video chini, mkataba unachumbuliwa:
When you aredy, lets discuss the agreement in English, since you are not conversant with the agrrement in Kiswahili.
Msikiti unahusiana nini na hii mada?
Au kuna mkataba wa kujenga msikiti hapo?
Mkataba wa kujenga msikiti alisaini mwendazake na Mfalme wa Morocco.
Tuikatae CCM kwani ndio kampuni la wanasiasa wasio na uzalendo.Mkataba wa bandari unaopigiwa kelele kila siku usitekelezwe huu hapa , kwa kweli ni aibu kwa watu wanaojiita wabunge kupitisha mkataba uliojaa mapungufu mengi kiasi hicho, nilifikiri wanasiasa wa upinzani wanapotosha kumbe mambo yenyewe yapo hivi aise[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] tunaenda wapi kama taifa, hili bunge la awamu hii limejivua uchi kuwa hakuna linachokifanya kuisimamia serikali wala kuishauli watu hawa hawafai kurudishwa 2025!
Asubuhi njema leo jumapili tukumbuke kuendelea kuliombea taifa linapita katika miiba mikali na mkataba wa kinyonyaji , tunajuwa mungu hawezi kutuacha na mateso haya atafanya jambo! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2682567