Mwenye akili atapenda nchi yetu ipigane kiume kuendesha bandari zake. Tulianza kwenye umeme, reli, ndege barabara....Serikali isipoteze muda na wapuuzi wachache ambao kwa maksudi hawataki kuelewa faida inayo patikana na uwekezaji wa DPW.
Kwanini bandari za Zanzibar zimeondolewa kwenye hiki mnachoita 'neema ya uwekezaji'?
Mkataba upi unaoungelea?Kuna mawakili wengi mno hiyo kesi haitokosa wa kuisimamia.
Hoja hapa ni kubadili mkataba tu au kuufuta kabisa.
Naona hata ukielewi unachokiongea, unaonesha umejazwa ujinga.Mwenye akili atapenda nchi yetu ipigane kiume kuendesha bandari zake. Tulianza kwenye umeme, reli, ndege barabara....
Tatizo kina bendera fuata upepo hawaeleweki wanasimamia nini. Ni wale wale waliomsifia magu leo wamebadili gia ili wazidi kulamba asali.
Kwanza tuoneshe kifungu kibovu kimoja tuone kama hakikijibu kwenye huohuo "mkataba".Hakuna mkataba mbovu umewahi kutokea kama huu duniani
Samia akishirikiana na waziri na katibu mkuu wameiuza Tanganyika kwa waarabu
Watanganyika amkeni muitete nchi yenu wajukuu na vitukuu vyenu vitazaliwa km watumwa chini ya nchi ya waarabu ambao wameuziwa nchi
Mkumbuke viongozi waliofanya haya wananufaika na uuzwaji huu wa nchi
Sawa
Ndio pale Law School Kati ya Wanafunzi 800 hufaulu 12 tu
Mwanasheria mbobevu anaajiriwaje na Serikali?Hao waanaopigapiga kelele kudanganya watu, elewa kuwa ni mabomu tu hayo.
Hivi unafikiri serikali ni wajinga waviachie vichwa vinavyojuwa sheria wakati kuna idaa nyingi sana za serikalini zinazowahitaji? Fikiri.
Hao ni failures wa maisha ya kila siku ambao wamesoma lakini hawajaelimika.
Dah, wewe labda huelewi jinsi serikali inavyoajiri.Mwanasheria mbobevu anaajiriwaje na Serikali?
Watamlipa nini?😂😂
cc: Fatma Karume
Mawakili Wakubwa hufanya Kazi za Serikali Lakini hawaajiriwi na Serikali ndio Akina Mkono, Tenga, Jerome, Rex, Kiwango nk....nkDah, wewe labda huelewi jinsi serikali inavyoajiri.
Tuulize wa zamani, juicy students walikuwa washalengwa toka sekondari, wanajuliknana kabisa huyu atachukuliwa wapi.
ystem hiyo bado ipo kwa wachache sana, hata kama akiwa ni private lawyer, kama ni mwenye maana basi serikali haiwachi kumtumia.
Wewe fikiria ma judge kama Dr. Fauz, miaka yote alikuwa anafanya kazi zake parivate, aliotakikana moja kwa moja kaachishwa kazi za private karudishwa serikalini. Unafikiri alivyokuwa Private alikuwa hafanyi kazi za serikali.
Ngoja nikujuze tu. <wakili wengi wenye maana zao wa private, hupelekewa kesi nyingi kubwa kubwa, zinazohusu specialization zao, wazipitie kabla ya kuzirudisha kwa majaji mahakamani kuzifanyia maamuzia ya mwisho. Unayaelewa hayo?
yie mnaona nchi zinajiendea tu kiholela eeh?
Mpaka kesho.Mawakili Wakubwa hufanya Kazi za Serikali Lakini hawaajiriwi na Serikali ndio Akina Mkono, Tenga, Jerome, Rex, Kiwango nk....nk
Hiyo Zamani hata sisi tulikuwepo bwashee!
Mshindi wa zabuni anatangazwa vipi wakati waarabu walishasaini mkataba?
Hivi wewe bibi unajua hata unachokiandika kweli, au bora ujiunganishie maneno tu utengeneze sentensi uende zako!.
Huu ni muda wako wa kucheza na wajukuu sasa, hii JF naona uwe msomaji tu.
Mawakili Wakubwa hufanya Kazi za Serikali Lakini hawaajiriwi na Serikali ndio Akina Mkono, Tenga, Jerome, Rex, Kiwango nk....nk
Hiyo Zamani hata sisi tulikuwepo bwashee!
Nimeangalia vitu 3; sheria, katiba na mkataba wenyewe. Kisha nimesikiliza hoja za pande zote. Basing on those variables ndio kwa maoni yangu nikasema hayo.Naona hata ukielewi unachokiongea, unaonesha umejazwa ujinga.
Mkataba uko hapo juu post #1.
Si ulienda shule? sasa kama ulienda shule, kwanini uongee kama mtu aliyeshikwa akili? Pitia makubaliano yapo mpaka kwa Kisawahili kama Kingereza kinakupiga chenga, wewe mwenyewe useme tatizo lipo kifungu kipi.
nafahamu siyo tatizo lako, ni shule tu uliyoenda.
Waliosaini huu mkataba wapo wamekaa kimya sasa ninyi vichaa nani kawatuma.Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Tenda ipi kapatiwa mtu ewe punguani?Kwa taarifa yako Nina uelewa wa kutosha kuhusu PPRA act ya 2011 na Regulations zake.
Nishakuwa chairman wa tenda Bodi ofini.
Nishahudhuria semina kibao za PPRA .
Nina uelewa wa kutosha kuhusu mchakato wote wa manunuzi ya umma.
Haikubaliki kutangaza tenda ambayo umeshampatia mtu.
Ungetakiwa kuja na hoja labda ni utaratibu gani umetumika ku msingle source huyo mtu ila kutangaza tenda ambayo umeshampatia mtu huo ni kulaghai tena ni wizi.
Hivi unajua tu kampuni kufanya mchakato wa kuomba zabuni ni gharama.
Kwanza kuna gharama za kununua tenda document.
Gharama za kujaza hiyo tenda document.
Hakuna mzabuni anayeweza kujisumbua kuomba tenda ambayo mtu kashasainishwa mkataba na pia ni kinyume cha Sheria ya manunuzi kuhusiaa na competitive bidding.
Wadanganye wajingawajinga mwenzako wala urojo wa huko Zanzibar halafu we mazeri unaleta ujinga mwingi kwenye ishu za msingi
Kwa DP world ni kitu gani na kitu gani kilipitishwa bungeni kuhusiana na DP wolrd na Serikali ya Tanzania wewe bibi kizee mwenye **** chafu?Tenda ipi kapatiwa mtu ewe punguani?