mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Mwenye akili atapenda nchi yetu ipigane kiume kuendesha bandari zake. Tulianza kwenye umeme, reli, ndege barabara....Serikali isipoteze muda na wapuuzi wachache ambao kwa maksudi hawataki kuelewa faida inayo patikana na uwekezaji wa DPW.
Tatizo kina bendera fuata upepo hawaeleweki wanasimamia nini. Ni wale wale waliomsifia magu leo wamebadili gia ili wazidi kulamba asali.