DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Watakuja na jina jipya tu ila mapapa ni wale wale.
 
Kwenye pesa ni 8_7. SW kama umetumwa kawambie sio kinyonge
 
Watanzania mna uelewa mdogo sana.

Juzi serikali ilisema inaendelea na taratibu za mkataba


Kwa hiyo argument yako ni ku Bank kwenye statement ya serikali, mbona wamevuta baadhi ya Miswada nje? Nafikiri wewe ndo unaweza kuwa na uelewa finyu
 
Wabongo kwa usanii tu hatujambo! Mama Abdul anafikili watz ni wajinga sana
 
We ni km mazuzu wengine tu. Huoni hata haya? Ni juzi tu msemaji wa serikali katuambia serikali inaandaa HGA na mikataba ya miradi tayari kwa utekelezaji we unajitengenezea litangazo lako feki? Subiri mazuzu wenzio waja
 
Sheria ya PPRA haihusiki na mikataba ya kimataifa
Hii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!

Hiyo ngiyo Tanzania [emoji1241]
 
Hii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!

Hiyo ngiyo Tanzania [emoji1241]
Kwa hiyo wana jina la DPW mfukoni, kama dhaifu alivyoingia na jina la Marehemu "Member"kwenye uchaguzi wa urais wa 2015 kule idodomya?
 
Tunawakumbusha tu TEC ,Profesa Tibaijuka, Kinana , GSM na wengine kuwa TPA wametoa tenda ya kuendesha bandari.

Kufuatia ule waraka wenu mliosa mmetumwa na watanzania sasa hapa ndipo tunataka waje wale wawekezaji wenu mliokuwa mnawasema kwenye ule waraka wenu wa ki intarahamwe kuwa kuwa watanzania wanaweza kufanya hii kazi.

Hatutaki mje kuanza kuwalaumu waarabu kwa haya mambo maana mmesema kuna watanzania wana uwezo,haya tangazo la kuitisha tenda hili hapa mkalisome makanisani kama mlivyousoma waraka ule ili wale mnaosema wana uwezo waje kuomba na wapewe kazi hii.
 
Hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
Usijizime data, hiyo ni moja ya utekelezaji wa HGA (Host government agreements) mikataba hiyo ipo ndani ya mkataba mkuu wa IGA. Bado ngoma mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…