Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ni rushwa haina ushahidiWale waarabu hawawezi kuachia ngazi hadi hela yao irudi, patachimbika.
Wewe endelea kujipa farajaHongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
Watakuja na jina jipya tu ila mapapa ni wale wale.Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Endelea kuotaDP hawatoboi, labda wabadili Jina.
Wametusumbua sana wahuni Hawa!!
Master wa nusu mkate 😆😆, hawa kina mangi tabu sana.Master wa kung'ang'ania chama labda
Ni kiinimacho hawataki lawama. Kilingana mkataba wa DTW wao watakuwa na mamlaka ya mwisho ya kumtangaza mshindi. TPA ni kipaza sauti tu.View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Usipanick mangi!Hivyo hivyo hata mumeo naye anapambana ndiyo maana mnaishi
Watanzania mna uelewa mdogo sana.
Juzi serikali ilisema inaendelea na taratibu za mkataba
Tulia mkuuUsipanick mangi!
Uende ukaiombe uone kama utaipata.Una manisha nini
Wabongo kwa usanii tu hatujambo! Mama Abdul anafikili watz ni wajinga sanaKuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
We ni km mazuzu wengine tu. Huoni hata haya? Ni juzi tu msemaji wa serikali katuambia serikali inaandaa HGA na mikataba ya miradi tayari kwa utekelezaji we unajitengenezea litangazo lako feki? Subiri mazuzu wenzio wajaKuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Hii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!
Hiyo ngiyo Tanzania [emoji1241]
Kwa hiyo wana jina la DPW mfukoni, kama dhaifu alivyoingia na jina la Marehemu "Member"kwenye uchaguzi wa urais wa 2015 kule idodomya?Hii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!
Hiyo ngiyo Tanzania [emoji1241]
Wameshawapa DP world taarifa lakin. Kisije kikanukaView attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Usijizime data, hiyo ni moja ya utekelezaji wa HGA (Host government agreements) mikataba hiyo ipo ndani ya mkataba mkuu wa IGA. Bado ngoma mbichi.Hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.