DP World wamechimba lini?Kwa kifupi, or in summery, DP world wanapongezwa kwa kuongeza kina cha maji kwa 2 miters.
Haya mabadiliko, kuongeza magati na kina, yalifanyika wakati wa Magufuli. Mengine haya ni kujitafutia ujiko kwa kazi za wengine.Ni mabadiliko gani waliyafanya kuwezesha kuleta meli kubwa ambayo sisi wenyewe tulishindwa kuyafanya?
Kwa kifupi, or in summery, DP world wanapongezwa kwa kuongeza kina cha maji kwa 2 miters.
Si imeshakuja meli yenye zaidi ya hayo mwaka jana tukaambiwa maneno hayo hayo!Haya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300ππ
Kampuni ya DP World iliyoingia ubia na Serikali kwa ajili ya uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam imeingiza meli ya kwanza yenye urefu wa mita 294.12 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji na maboresho yanayofanywa na kampuni hiyo katika kuendesha bandari hiyo.
Hayo yameelezwa na meneja mizigo mchanganyiko wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA, Abed Galusi.
My Take
Kasi ya kuondoa mzigo ili.kuepusha Msongamano itaendana? ππ
Meli kubwa ya MSC ADU V iliyobeba makasha 4,000 imetia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa meli yenye mzigo mkubwa wa makontena kuwasili Tanzania.
MSC ADU V iliyotengenezwa mwaka 2005 ina urefu wa mita 294.12 unaokaribiana na viwanja vitatu vya mpira wa miguu imetia nanga leo Jumamosi Juni 22, 2024.
Akizungumza na wanahabari Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Abeid Gallus amesema ujio wa meli hiyo umetokana na maboresho yaliyofanyika katika bandari hiyo na uwekezaji wa Kampuni ya DP- World.
Gallus amesema bandari ya Dar es Salaam imefanya maboresho katika kina cha maji na ununuzi wa vitendea kazi vya kisasa.
Amesema mwanzo kulikuwapo na kina cha mita nane hadi 12.7 sasa hivi kipo 14.5 chenye uwezo wa kuingiza meli yenye urefu wa mita 305 na kina 13.5.
"Hii ni historia kwetu hapo mwanzoni tulikuwa tunaingiza meli zenye urefu wa mita 267, tumeongeza uwezo wa bandari yetu ya Dar es Salaam katika uingizaji wa meli.
"Uwezo wa utendaji kazi wa bandari ya Dar es Salaam utazidi kuimarika zaidi kwa sababu hivi sasa tuna mwekezaji mpya DP World aliyeanza kazi na mabadiliko yameonekana mfano ni meli hii kubwa,"amesema Gallus.
Gallus amefafanua kuwa katika usafirishaji ukipokea meli kubwa unaongeza kiwango cha mizigo unaokuja katika bandari husika sambamba na kupunguza gharama za usafirishaji wa mizigo.
Pia Soma
- Bandari ya Dar es salaam yazidi kupokea meli kubwa duniani
Haya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300ππ

Iko wapi? Mliambiwa na nani?Si imeshakuja meli yenye zaidi ya hayo mwaka jana tukaambiwa maneno hayo hayo!
Walichimba lini..?Kwa kifupi, or in summery, DP world wanapongezwa kwa kuongeza kina cha maji kwa 2 miters.
Huo ni Mwanzo tuu,mtajambishwa sanaHaya wameyafanya hao DP World unaowasifia kabla hata hawajaanza kazi, au kwa kazi hiyo moja ya kuleta hiyo meli?
Una haraka ya nini, tupe mrejesho wa utendaji kazi wao baada ya mwaka mmoja, siyo sasa.
Wananchi wetu wenyewe walikwisha onyesha ufanisi, hata kabla ya hao DPWorld kuja hapo.
Soma Makala utayajuaNi mabadiliko gani waliyafanya kuwezesha kuleta meli kubwa ambayo sisi wenyewe tulishindwa kuyafanya?
Si wanajua Watanzania ni wasahaulifu....nimeona wachezaji wa Yanga walivyomwaga sifa jinsi mama alivyoleta SGRKina kimechimbwa kipindi cha JPM na Kodi za Watanzania, sio kina tu bali hata idadi ya berth ziliongezwa, kazi yote hiyo ilifanywa awamu ya tano ya JPM kwa kodi za Watanzania.
Awamu hii ilichofanya ni kumpa muwekezaji DP world.
Dahh binadamuHayo makontena ndiyo yataondoka na vyetu
Hapana mwisho ilikuwa meli ya container 2000 kwa sababu ya kina ila Dp word hawa jaongezakina wao waonekuta tayari TPA wameshaongeza kina cha bandari wao wameongeza mashine za kushusha mzigo mkubwa kwa harakaInamaana haijawahi kuja meli ya ukubwa huo? Be serious
Kwani hii wewe umeipata wapi!Iko wapi? Mliambiwa na nani?
Na kuna watu walishawahi kutoa gawio kwa serikali kumbe ilikuwa geresha. Tusubiri na hili.Hayo makontena ndiyo yataondoka na vyetu
MELI KUBWA YENYE UREFU WA MITA 249 YATIA NANGA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM, IKIWA IMEBEBA MAKONTENA 4,500....Iko wapi? Mliambiwa na nani?
Hii ndiyo hoja!Ni mabadiliko gani waliyafanya kuwezesha kuleta meli kubwa ambayo sisi wenyewe tulishindwa kuyafanya?
Walichimba lini..?
Mbona Bandari ya Mombasa zinakujaga sana bila uwekezaji wa Dp World Pale? Taifa la wapumbavuHaya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300ππ